HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Habari za muda huu wakuu. Nimefanya application za NAOT kwa bahati mbaya address nimeweka ya NAOT badala ya PSRS kwenye barua. Kuna application zangu zingine za nyuma zilikataliwa kwa sababu hii nataka nibadilishe hii barua. Je nikifika ofisini kwao wanaweza kunisaidia hilo?

Maana mfumo hauruhusu kufanya marekebisho yoyote. Nisaidieni mawazo yenu wakuu maana nategemea kwenda Dodoma ili nisaidiwe hii issue. Nimejaribu kuwapigia simu hawapokei. Nahisi wanaweza kutuita muda wowote kutokea sasa nina hofu wanaweza kunitema.
 
Back
Top Bottom