nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,901
- 14,611
Yalinikuta....mama mmoja kazini analazimisha hela watu tuchange ili aende Bagamoyo kumroga boss.
Mie nilikataa..ikawa ni vita mbaya sana.
Hata hivyo nilikuja kupata story kwamba kule Bagamoyo walienda na mbuzi..mganga akawaambia huyu boss yeye alichinja ngamia kwa hiyo mbuzi hatoshi.