Official planner
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 248
- 336
Duh hatari sanaNipo nasubiri barua yangu ya uhamisho kwa hamu kama wewe unavyosubiri yako kwenye ajira ajira portal.
Wewe unakomaa na Ajira portal
Mimi nakomaa na ESS.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Duh hatari sanaNipo nasubiri barua yangu ya uhamisho kwa hamu kama wewe unavyosubiri yako kwenye ajira ajira portal.
Wewe unakomaa na Ajira portal
Mimi nakomaa na ESS.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Namshukuru Mungu nimepangiwa taasisi inayojitegemea sipo halmashauri mkuuBado kuna jini la uhamisho lina kusubiri.
Karibu kwenye mapambano ya vita mpya ya uhamisho.
Kama una connection ya kukuhamisha hongera.
Ila kama huna basi njoo tuteseke wote.
4 yrs now nateseka na uhamisho, japo mwaka huu mwanga ndio umeonekana rasmini kwa mbalii.
Karibu kwenye mateso mapya.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Uhamisho sio kwa Halmashauri tu.Namshukuru Mungu nimepangiwa taasisi inayojitegemea sipo halmashauri mkuu
mkuu huku kuhama labda Mungu aingilie katiUhamisho sio kwa Halmashauri tu.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Wapi iyo?mkuu huku kuhama labda Mungu aingilie kati
Ila uhamisho ni vita kubwa kuliko kupata placementBado kuna jini la uhamisho lina kusubiri.
Karibu kwenye mapambano ya vita mpya ya uhamisho.
Kama una connection ya kukuhamisha hongera.
Ila kama huna basi njoo tuteseke wote.
4 yrs now nateseka na uhamisho, japo mwaka huu mwanga ndio umeonekana rasmini kwa mbalii.
Karibu kwenye mateso mapya.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
hongera sanaNimepata kazi ndugu zangu Mungu ni mwema
Shukrani sanahongera sana
Hongera sana mkuu, barua kwenye acc liiona leo au jana?Nimepata kazi ndugu zangu Mungu ni mwema
LeoHongera sana mkuu, barua kwenye acc liiona leo au jana?
Bukombe wachimbaji wameharibu mji kupata chumba tu cha kupanga ni mtihani hata Gesti tu kupata sio kazi rahisi. Kama ukikosa nenda ukaripoti ila jiandae kabisa na pesa ya kulala lodge hata wiki mbili kisha watumie workmates wako ambao ni wenyeji wakusaidie kutafuta inaweza kuwa rahisi.Habari za muda huu wakuu?
Naomba kama kuna mwenyeji wa ushirombo bukombe kama yupo nahitaji makazi huko natarjia kwenda kuanza maisha mapya ya ajira. Natafuta dalali wa makazi huko you can check me here or pm.
Kabla au baada ya PDF kutoka?
TBT1. Tell us about your life history, schools and College
2. Objectives of perfomance Audit
3. Characteristics of good quality audit report
Haya ndio maswali ya general anayoweza kuulizwa kila mtu wa Audit.
Mengine kama 3 hivi yalihusu kqda yangu ya Afya kwenye kudeal na ishu za hospital.
Halafu wameniuliza maswali zaidi ya 5 aisee, maana kila nikimaliza kujibu wananipa lingine tena.
Muda wa mkando wote walinitengea dk 15
Kabla ya pdf kutokaKabla au baada ya PDF kutoka?
Bro! Nilikuwa napitia comments zako kuhusu usaili wa NAOT ilitakiwa nifanye oral Dodoma J5 bahati nzuri ninekutana na placement letter ya taasisi nyingine.