Recent content by amhanda

  1. amhanda

    JamiiForums Tanzania Hizi Radio ni za CCM?

    Ni kutojua wajibu wake.siasa si sehemu yake.yeye anapaswa kuwachunga kondoo wa mungu.
  2. amhanda

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ampinga Rais Kikwete baada ya hotuba ya kufunga Bunge!!!

    Ww msimamo wako nn mkuu
  3. amhanda

    JamiiForums Tanzania Enzi za RFA katika ubora wake

    Wameitoa RFA mbali sana.
  4. amhanda

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa mabachela juu ya valentine day

    Ni siku ya kawaida sana.hakuna nipya complications wa wanadamu tu.
  5. amhanda

    JamiiForums Tanzania Komla Dumor of BBC is no more

    Duh hata mie imenistua,but ukweli utabaki palepale kwamba katangulia.
  6. amhanda

    JamiiForums Tanzania Huyu Ridhiwani ninani???

    Mi naona ni mjasiriamali mtanzania
  7. amhanda

    JamiiForums Tanzania JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

    Harusi ilifanyika mlimanicity si ikulu.
  8. amhanda

    JamiiForums Tanzania Tafakari. Wanamuziki wa kike kutoka Congo

    Wanawake muda wote hawana mpango mkakati wa muda murefu kuwezesha kile ambacho wamewekeza kwacho.na ndo maana muda mwingi mambo yao yanaexpire mapeeeeeema.
  9. amhanda

    JamiiForums Tanzania EAC: Rais Kikwete, Kagame, Kenyatta, Museveni wasaini mkataba wa sarafu moja EAC!

    EAC sawa, kimuundo iko poa kabisa.je wabongo tutahimili ushindani?
  10. amhanda

    JamiiForums Tanzania Bunge lakataa kubariki "Division 5"

    Naona hawa waandaaji wa mswaada huu,hawana future ya taifa la kesho zuri kwa vijana wetu hawa ambao kila leo wanawaandalia mitaala ya elimu ambayo ni butu na haina ushindani duniani.uliona wapi duniani anakuwa qualified hadi jwa maks 19?.jamani acheni siasa kwenye taaluma .
  11. amhanda

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro Atoka Hospitali, Atoa Shukrani Kwa Mungu na Awashukuru Wote!.

    Ufoo,hayo ndo maisha kuna raha,huzuni,furaha,chareko nk.na kamwe hujafavhujaumbika pole na karibbu tena ulingoni.
  12. amhanda

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kupunguza kitambi

    Ni kweli.
  13. amhanda

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kusahau shida zako.

    Hizo siasa tu.
  14. amhanda

    JamiiForums Tanzania Ulevi Noma jamani

    Tabu zingine bwana! Kwa mtindo huu,huyu bwana anatafuta stress.
  15. amhanda

    JamiiForums Tanzania Maumivu chini ya ziwa la kushoto

    Drug of choice nenda hospitali achana na online dr's
Back
Top Bottom