Hizi Radio ni za CCM?

Hizi Radio ni za CCM?

Mm ni mkristo nashindwa kuelewa hua wanapewa nini awa wachungaji
Mnamuelewa uyu Mtetemela? Naona amekua msemaji wa serikali sasa
kwani vipi,wachungaji wetu watukufu wamefanya nini tena?
 
Ni kutojua wajibu wake.siasa si sehemu yake.yeye anapaswa kuwachunga kondoo wa mungu.
 
ni makosa sana kwa viongozi wa dini kujihusisha na siasa,na wanapoamua kujihusisha wanapaswa kuwa neutral,i am glad the denomination i am is off political sphere!
 
Mm ni mkristo nashindwa kuelewa hua wanapewa nini awa wachungaji
Mnamuelewa uyu Mtetemela? Naona amekua msemaji wa serikali sasa

Huyu simuelewi hata kidogo. Nimegundua ukiingizwa pale na rais unachukuliwa ufahamu na hivi kujikuta unacheza hata nyimbo na kishetani hata kama ni kiongozi wa dini
 
Mm ni mkristo nashindwa kuelewa hua wanapewa nini awa wachungaji
Mnamuelewa uyu Mtetemela? Naona amekua msemaji wa serikali sasa

Umesahau hii?

"Sitta kukutana na Viongozi wa Dini"

Hapa ndipo kiini cha Lukuvi kusimama kanisani kuropoka, Mtetemela leo kuropoka bungeni, mjumbe wa BAKWATA jana kuropoka bungeni.

Umeelewa sasa?
 
Kama hutaki kuchungwa katafute majani peke yako kondeni, Kwani Uamsho mmewapa nn?
 
Askofu wa ccm na mjumbe malumu wa bunge la katiba amelileza bunge kuwa yeye ndio alikuwa mshauri wa askofu mkuu wa anglikana aliyeruhusu ushoga kwenye kanisa
 
ni makosa sana kwa viongozi wa dini kujihusisha na siasa,na wanapoamua kujihusisha wanapaswa kuwa neutral,i am glad the denomination i am is off political sphere!
lakini kakobe alikua anatoa mawazo yake tu,haina maana kuwa anawaunga mkono chadema kisiasa.
 
Mm ni mkristo nashindwa kuelewa hua wanapewa nini awa wachungaji
Mnamuelewa uyu Mtetemela? Naona amekua msemaji wa serikali sasa

Wachungaji wa mishahara hao...!
Alafu alikuwa wapi wakati huu wote?
Siku zote yuko humohumo bungeni, mbona hizo busara zake aliweka mfukoni?
 
Umesahau hii?

"Sitta kukutana na Viongozi wa Dini"

Hapa ndipo kiini cha Lukuvi kusimama kanisani kuropoka, Mtetemela leo kuropoka bungeni, mjumbe wa BAKWATA jana kuropoka bungeni.

Umeelewa sasa?
Niseme tu hawa viongozi wasikosee kusema hayo ni maoni ya waumini wao. Hayo ni purely maoni binafsi na sisi tunayo yetu tofauti. Hanishawishi hata kidogo kwani kapotoka kumwita Nyerere Mtakatifu
 
Niseme tu hawa viongozi wasikosee kusema hayo ni maoni ya waumini wao. Hayo ni purely maoni binafsi na sisi tunayo yetu tofauti. Hanishawishi hata kidogo kwani kapotoka kumwita Nyerere Mtakatifu

Yaani huu unyama tunaofanyiwa na ccm iko siku watajutia sana uhayawani wao.
 
Hao wote ni sehemu ya interahamwe, wanatofautiana kidogo sana! Wanaendekeza ubaguzi, kejeli na matusi tu! Hakuna katiba mpya hapo zaidi ya mipasho tu!
 
Anajiita askofu mstaafu,anawakilisha vikundi vya dini,.
Lakini porojo zake ni kuisifia ccm badala ya kuwa neutral.
Kamaliza kwa kusema kwamba wanaobeza kwamba ccm kwamba hawajaleta maendeleo hawana macho
 
nimemsikiliza kwa makini sana lakini mwishoye naona ameongea porojo tuu...mi ombi langu ni mtu anaposema ana mawazo ya serikali2 atoe sababu ya kwanini sio3 kwa takwimu sio porojo wala kuwa na hofu tuu ya s3.
wenye mawazo ya s3 wana hoja nzito sana na zimefanyiwa tafiti za kisayansi.
. viva s3
 
Mahali sasa viongozi wa dini wanapo potea ni wakati unaamriwa kuicheza ngoma usio ijua. Mtetemela na Utakatifu wa Julius! Ama kweli, kabla hatujafa tutaona mengi. Mzee huyu na heshima zake anaamriwa asifie maiti. Haya mzee nawe tumekusikia. Njaa mbaya saana ndiyo imemweka pale mjengoni leo. Avute za bunge na hizo za Ikulu.
Kama umemtumikia Mungu miaka yoote mpaka ukastaafu kazi yake haku kukumbuka hizi za siku 90 hazitakutosha. Tuwe wa kweli tu
 
Naomba kujuzwa kama bunge maalum la katiba leo tarehe 17/4 linaendelea baada ya wana UWAKA Kujitoa?

Nafikiri bunge lilisitishwa jana ila leo kuna mkutano wa ccm unafanyikia ukumbi wa bunge Dodoma.
 
cheeter
===>Amesahau kuwa sadaka za waumini wanaotaka serikali tatu ndio zilizomfanya akapata Phd,na leo anaonyesha wazi wazi kuwa hana busara pamoja na Uaskofu wake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom