Huyu Ridhiwani ninani???

Huyu Ridhiwani ninani???

Status
Not open for further replies.
Toka Kikwete kaanzisha TAKUKURU tunaona kesi nyingi za rushwa kuliko wakati wowote ule mahakamani, tumeona mawaziri na waliokuwa mawaziri wakifikishwa mahakamani. Uliyaona hayo kabla ya TAKUKURU.

Usisahahu ni nani aliyoianzisha TAKUKURU na usisahau ni nani aliyoipa meno, na bado meno hayatoshi na inaendelea kuboreshwa. Usifikiri taasisi kama hiyo inaanzishwa leo na kuwa na sheria zote mikononi mwake leo, uozo uliokuwepo kwa miaka 44 kabla ya Kikwete si rahisi kutatua kwa siku moja. Lakini kazi zake na mafanikio yake wenye macho tunayaona:

Statistics as from 2005 to October 2013 translate as follows:

  1. 49,853 Allegations were received since 2005 to OctoberNot all the allegations being reported are related to corruption.
  2. Number of administrative actions taken against public servants proven to be inclined to take bribes and other corrupt behavior since 2005 to October 2013 is 816 Public Servants.
  3. Number of new cases filed into courts since the new Act (PCCA, 2007) became operational are 1,557 cases.
  4. Number of convictions against corrupt offenders in courts since 2005 to October 2013 are 378.
  5. Money recovered by PCCB for the period 2005 to October 2013 is to the tune of Tshs. 47,686,737,345/= Billions.
Source: Case Statistics

Uliyaona hayo kabla ya Kikwete?

n'a hiyo takukuru ndio iliyofanya kazi ka wale wezi wa pesa za umma wazirudishe n'a kuwa huru je ingekuwa kwa mwizi wa kuku angeambiwa arudishe kuku? kuleni bata sana n'a mjiwekee vikampuni uchwara kwa ajili ya kula pesa za umma
 
Hata mademu wazuri wakipita hapo simiwu uliza niwananni utaambiwa ni wa riz
 
Sasa hapa ku "complain" au kuna ujinga tu?

U "complain" uje na ushahidi wa uyasemayo siyo unakuja na hadithi za gongo.

Huu ulioletwa hapa ni ujinga.
Lisemwalo lipo,kama halipo laja bidada.
Nimejifunza kua hapa bongo kwetu watu wanakuaga na data sana. Na huwa data zinaanzaga kwa tetesi mwisho unasikia kitu kamili.
Bi dada huwa nakusom SANA post zako. Unaipenda sana ccm kwa moyo wako lakini usiwe hivyo sana mpaka unakuwa blind. Yani panapokosewa unatetea. Hatuendi hivyo bidada.

Mimi ni neutral sina chama wala nini pa kumsifia chadema nafanya hivyo. Pa kumsifia ccm pia nafanya hivyo
Badililika na nchi yetu huwenda ikawa ya maendeleo baadae.
Kila kukicha tunasikia ritz anatumia madaraka ya baba yake kujinufaisha. Nyerere watoto wake hawakua hivyo. Ipo siku mpinzani akaja kuchukua nchi watu kama kina ritz wakaanza kutafutwa na kuchukuliwa hatua , sasa hayo siyatakua machafuko kama kwa waarabu baadhi!

TUKIlea hivi vitu vidogo ndo vinakuaja kua vikubwa. Usitetee kila kifanywacho na mwana ccm
 
Wewe usemae Kikwete fisadi, leta ushahidi kama hauna kaa kimya. Mali usemazo za Ridhwani leta ushahidi wacha porojo.

Nyinyi ndio wale hata nzi mkubwa mnasema wa kizungu huyo. Kushindwa kwakokimaisha utafute sababu kwa mwengine.

Jiulize walioweza wamewezaje wewe umeachwa mkiani? jibu ni simpo, ni kwa ujinga wako, ni kwa uvivu wako, ni kwa kungoja kwako ufanyiwe.

kwa nini unatetea sana ??? au wewe ni demu wake Riz1?? na usifikiri kila anayepigia makelele ufisadi ni maskini kashindwa maisha No ,..fikiria upya
 
huyu jamaa anaonewa sana mi kuna mtu namfahamu ambaye tangu anatafuta senti anafanikiwa namuona mpaka sasa tajiri mkubwa lakini watu wanasema mali za jamaa ni za Ridhiwani na mimi ndio nilikuwa mhasibu wa jamaa najua transaction zote zikoje inaboa sana
 
huyu jamaa anaonewa sana mi kuna mtu namfahamu ambaye tangu anatafuta senti anafanikiwa namuona mpaka sasa tajiri mkubwa lakini watu wanasema mali za jamaa ni za Ridhiwani na mimi ndio nilikuwa mhasibu wa jamaa najua transaction zote zikoje inaboa sana

Ungefanya jema kwa kumtaja huyo jamaa ili aondokane na uzushi sasa!!!!!!!
Aaargh unakuwa dulloscar sasa
 
Ungefanya jema kwa kumtaja huyo jamaa ili aondokane na uzushi sasa!!!!!!!
Aaargh unakuwa dulloscar sasa

Olesaidimu sio ethics kumtaja mtu according to my profession but kila mtu anajua ni mali za Riz while sio kweli cause I control all transactions
 
ridhiwani wapo wengi hata hapa jf yupo na mwingine ni mtoto jakaya. Mtaani kwangu pia yupo riz1 yeye anaziba pancha baiskeri. Huliza vizuri watakwambia tu ni riz yupi huyo

Hehehehheeh nomaaaaa
 
Watanzania wajinga kweli, zamani ilikuwa kila kitu kikubwa ni cha "kizungu", sasa kwa ule ule umbumbumbu ni cha "Rais" au "mtoto wa Rais".

Hivi kwa upuuzi kama huu mnategemea mtaendelea? mimi nasema "mawee".

Badala ya kutwa kukaa kusifia vya wanaume wenzenu na nyinyi ingieni wivu wa kufanya si kusengenya, wasengenyaji wakubwa nyie.

Umeona MTU kamsifia au kamsemgenya?
Huna hata uchungu utadhani sio Tanzania bana
 
kiongozi bora nilimwe ban lakini sitakubali maneno yako makali uliyoyatumia hapa.
Sidhani kama hizi tuhuma ni za uongo na tunachokisema au kulalamika hapa si wivu wa maendeleo ni namna rasilimali zetu zinavyotumika vibaya kwa baadhi ya watu hali watz wengine wanalia....

We will complain until we get equality.

Hiki kitu hakiwezekaniiiiiiii huwezi kutetea uovu tukakuacha hivi hivi I must tell you the truth kwamba " Acha kutetea uovu".

Unaweza kukuta huyu Dada hana ubongo so kajikuta katopoka tu
Watu they don't know how to think kabisa utadhani sio watanzania aisee
 
Work hard you will be rewarded.... Kazi huleta maendeleo na Mfanyabiashara hukutana na mapa kila siku na hujifunza mbinu zaidi...

Unataka kusema bwana ridhiwani works hard?u must be out of yo mind kwakweli
 
Hawashangai kwa mtazamo wako na wala hawasifii kama unavyofikiri,wanashangaa fedha kapata wapi wakati chuo kamaliza juzi na pia kwanini awe tajiri baada ya baba yake kushikiria opfisi ya umma.Ni icho tu mama wala hakuna jingine linalowauma watanzania ambao hawajui kesho wataamka vipi.

Mi sidhani kama mtu anahtaj darasa wakat anajua kila KTU no ujinga na kukosa uzalendo tu ndo unaweza kutoa comment kama ya huyu Dada aiseee
Huwez kumaliza chuo tu ukawa billionea labda uuze poda aiseee
 
Sasa hapa ku "complain" au kuna ujinga tu?

U "complain" uje na ushahidi wa uyasemayo siyo unakuja na hadithi za gongo.

Huu ulioletwa hapa ni ujinga.

Y don't u ask for ushahidi rather than hzo Maneno zako za kashfa?
 
Mkulo, Maige, Ngeleja kikaangoni TAKUKURU

inayozungumzia waliokuwa mawaziri 3 kuwa wanachunguzwa na TAKUKURU na kuwa wameamliwa kuwa wanaripot kila siku saa 3 asubuhi...

Hawa jamaa(ngereja,mkulo na maige) hata wakichunguzwa na hata wakiamliwa kuwa wanaripori TAKUKURU kila baada ya dakika 5 hawawezi kuchukulwa hatua yoyote.

Nasema hawawez kuchukuliwa hatua yoyote maana mali niyngi walizopata kwa njia ya udanganyifu zina Baraka toka kwa rais kikwete.. na pengine niseme kwamba kuondoka kwa hawa mawaizri ni pigo kwa kikwete mwenyewe maana sasa mtiririko wa deal alizokuwa akifanya kupitia kwa hawa jamaa zimeingia doa na inabidi aanze upya.

Mali haramu walizochuma hawa mawaziri zina baraka ya mkuu wa nchi kwa sababu nae anashiriki katika kuiibia nchi kupitia baadhi ya mawaziri anaowaweka hasa kati wizara nyeti..
Ngoja nitoe mfano juu ya maige

Mwaka jana kuna taarifa zilipatikana juu ya maige kuwa ameuza vitalu bila kufata taratibu..taarifa zile zililazimu uchanguzi wa kina nawa kiinteligensia kufanyika..mwaka jana hiyo hiyo mwezi wa 8 huko arusha katka hotel ya Kibo palace maige alikabidhiwa pesa taslimu mil 600(TSH) kama malipo ya vitalu alivyogawa kwa kampuni hiyo. Ndani ya hoteli kulikuwa na vjana wa TISS maana taarifa walikuwa nazo juu ya deal hilo na mara baada ya malipo hayo kufanyika; vijana waliingia chumban na kumuweka maige chini ya ulinzi...maige alijawa na uoga sana baada ya hapo alihojiwa kwa zaidi ya saa mbili..maelezo ya maige yalitoa picha kuwa mkuu wa nchi anahusika maana maige alisema kwa mdomo wake kuwa ni kweli amegawa vitalu lakin hata yeye amekuwa akipokea maagizo toka kwa mkuu wa nchi ..alieleza jinsi mkuu wanchi anavyohusika na kusafirisha pembe za ndovu hasa katika mbuga ya ruaha kazi inayosimamiwa na ISSA ASSASI..

Maige pia alieleza jinsi mkuu wa nchi pamoja na viongozi wengine wa nchi kama lukuvi,luhanjo(aliyekuwa katibu mkuu kiongozi)yeye mwenyewe maige na katibu wake, jinsi wanavyofanya biashara ya kupasua mbao na kusafirisha kutoka msitu wa Sao Hill huko Iringa pasipo kulipia garama zozote za msitu...alieleza mengi lakini mwisho wa siku taarifa hiyo ilipofikishwa makao makuu ilileta mtafaruku mkubwa hali ambayo ilipelekea mmoja wa wakuu wa idara kuondolewa kweye idara na kupelekwa nje ya nchi katika moja ya balozi zetu huko kwa kile kilichodaiwa kuwa kwa nini amefatilia na kutuma vijana kwenda kumkamata maige..

Ngereja nae vivyo hivyo,ngereja amefanikiwa kwa kias kikubwa kwa mkuuwa nchi kupata migodi au kuwa mmoja wa wamiliki wa migodi..ngereja amefanikiwa pia kuhakikisha mkuu wan nchi anapata dhahabu toka kwa kila mgodi uliopo hapa nchi unaomilikwa na kampuni za kigeni...sasa ni katika deal hizo na wao wanapiga cha juu ..

Mkulo amefanikisha kwa kiasi kikubwa kununua na kusafirisha na kuyaingiza nchini magari ya mizigo na mafuta amabayo yote ni mali ya mkuu wanchi...leo mnapoona hizo vogue na vx zimepak ni sehemu ndogo sana ya kile alichoiba .....

Leo ninapoona TAKUKURU wanafatilia swala hili ni kiini macho maana najua hakuna lolote watakalofanywa na TAASISI KIBOGOYO hiyo...

Mwiba mkali na mbaya uliomo katika nchi ni huyo Rais wa nchi..huyu ndiye anapowachagua hawa mawaziri huwachagua akiwa na maslahi binafsi kwa kuwambia ‘’ HAKIKISHA Napata hiki au kile..hili neno HAKIKISHA ndilo huwapa kiburi mawaziri na wanaposhika nyazifa hzo huanza kuiba na kufanya ubadhirifu mkubwa maana wanatii lile neno ‘’HAKIKISHA’’ na wakati huo huo na wao wakinufaika na hilo neon HAKIKISHA na ndio maana mnaona wananunua majumba, wanatoa mil 500 majimboni kwao, na wengine wananunua apartments na mengine mengi. Lakini anayebaka nchi hii kinyume na maumbile bila huruma ni mkuu wa nchi..anzeni na huyu ambaye ndiyo tatizo maana hata juzi kashauriwa kutowangiza katika baraza la mawaziri baadhi ya wabunge lakini alikataa mmoja wa wabunge hao ni steven masele....

Bado kuna giza nene katika uongozi wa nchi

Mtu mwemye ubongo umeganda kama faiza foxy atakuaja atakuambia unakaa kusengenya wanaume wenzio
 
Kikwete ni fisadi penda usipende. Usitufanye sisi wajinga. Mali za Ridhwani zinajulikana. Bongo ni nchi ndogo, hakuna siri. Kila kiongozi wa Tanzania lazima atajitarisha na ataitajirisha familia yake. Kuanzia Mwinyi, Mkapa, na sasa Kikwete. Na kiongozi atakayefuata naye atafanya hilo hilo. Atajineemesha yeye na familia yake. Watanzania wataendelea kutaabika.

The story about ngeleja is the guys was Vodacom lawyer for years
Rostam ni mmiliki mwenza Wa Voda so rostam ka heal yake kamchukua ngeleja kampa hadi hela ya kampeni agombee ubunge then kashabook nafasi moja ya uwaziri Wa nishati kwa kikwete
 
Ridhi Ni yule bwana ambae chadema na katibu mkuu wao walisema anamiliki malori,mabasi,sheli ,na magorofa yote mazuri unayoyaona hapa mjini na mikoani....pia chadena wakasema alikamatwa china ila mkuu akamtoa...

Hata holiday inn ana share ya bwana jeetu
 
kiongozi bora nilimwe ban lakini sitakubali maneno yako makali uliyoyatumia hapa.
Sidhani kama hizi tuhuma ni za uongo na tunachokisema au kulalamika hapa si wivu wa maendeleo ni namna rasilimali zetu zinavyotumika vibaya kwa baadhi ya watu hali watz wengine wanalia....

We will complain until we get equality.

Hiki kitu hakiwezekaniiiiiiii huwezi kutetea uovu tukakuacha hivi hivi I must tell you the truth kwamba " Acha kutetea uovu".

Lete ushahidi ameiba Mali ya uma wapi? Anafanya kazi taasisi gani ya serikali akaiba? Tufahamishe nasi tuelewe, maana nae ni binaadamu hawezi kukaa ale kisa ni Mtoto wa rais lazima apiganie maisha yake kwa kufanya biashara kama watu wengine, mbona hamwasemi wengine wenye mafanikio ila ni yeye tu? Lete ushahidi hapa vinginevyo tutatafsiri ni wivu wa kimaendeleo.
 
Heeeh...Mwacheni kijana wa JK......mna'insinuate' hata ambavyo havipo.....Hata mitaani mtoto wa Boss akiwa na vitegauchumi tunapika majungu......Let the man be!...mmmph
 
"Sasa hivi kila kitu kizuri naambiwa changu,mda si mrefu kile mwanamke mzuri watasema ni wangu"-Riziwan Kikwete
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom