Enzi za RFA katika ubora wake

Enzi za RFA katika ubora wake

Rosemary Mkangara, Beatrice Nyerere, Win Mtembei, Hamis Damumbaya, Egbert Mkoko, Nevely Meena.
 
Stela Setumbi na Roy Maganga, ni mke na mume ambao kwa sasa wapo TBC...Fredwaa na Rahabu Fred [ zamaniFungo]ambao pia ni mke na mume kwa sasa wapo Times FM Dar
 
Kuna jembe la Anga za kimataifa pale Samadu Hassan Madulu
 
Stela Setumbi na Roy Maganga, ni mke na mume ambao kwa sasa wapo TBC...Fredwaa na Rahabu Fred [ zamaniFungo]ambao pia ni mke na mume kwa sasa wapo Times FM Dar

Kumbe Rahabu yuko kwa mumewe Times fm
 
Lazaro Matarange, huyu ndiye Alex Ngusa Matarange. Au mawenge wenge yangu?

Alikuja Radio one, Akawa anatangaza taarifa kwa jina la Alex Ngusa, wakati huohuo anapiga Clouds kwa jina la Alex Matarange.

Siku hizi sijui kapotelea wapi.

yupo clouds fm ila kwa sasa nadhan yupo kwenye production,hatangaz tangaz saaaana
 
Joan Itanisa alikuwa msoma ahabari mrembo zaidi afrika mashariki na kati.
Ilikuwa akisoma habari Star TV sielewi kitu mpaka anamaliza, nilikuwa nabarikiwa sana.

Hahaaaa, unabarikiwa ama unashikwa na ganziii!!!? Wanaume tuna shida sana, Channel Ten alikuwepo dada namzimikia sana, nilishasahau jina bahati mbaya, akisoma taarifa siondoki.
 
yupo clouds fm ila kwa sasa nadhan yupo kwenye production,hatangaz tangaz saaaana

yupo kweli clouds lkn hayupo production,
anafanya pale part time, ni mwajiriwa wa wizara ya fedha-hazina, dar es salaam
 
Watangazaji ambao wanavutia kwenye Luninga Joan Itanisa(Jicho Jicho),Kuna Monita Rajipal CNN balaa,Jacob Usungu Rovin DJ Young Millionea,Kuna Brotherman alishika Nafasi Ya Jacob Usungu kwenye Rovin DJ star tv nshamsahau jina was 2003....RFA/STARTV kuna majembe kweli hadi MC stopper muksini mambo kasepa yupo TV1
 
Rfa ilikua zamani bhana,enzi za kina Soggy doggy,na kidbway enzi za showtime,it was 2001~2003,nlikua sibanduki,duh!kwa sasa rfa kwisha kabisa,naishia kusikiliza magazeti tu asubuhi na wakimaliza nazima redio hadi kesho tena.........
 
nilikuwa napenda sana kusikiliza kipindi cha vodacom akiendesha fredwaaa alikuwa anachekesha sana
 
Rfa ilikua zamani bhana,enzi za kina Soggy doggy,na kidbway enzi za showtime,it was 2001~2003,nlikua sibanduki,duh!kwa sasa rfa kwisha kabisa,naishia kusikiliza magazeti tu asubuhi na wakimaliza nazima redio hadi kesho tena.........

Kidbway,DJ Malice,DJ Jeff Jerry iachie iachie mwanangu unafanya muji unatishingika kinomaaaa wapo wapi hao? Kipindi Bora Star TV kilikuwa Supertraxx kilikuwa kinaendeshwa na Stevie Kabuye aka Kafire ilikuwa balaa Background ya wimbo ulikuwa wa Common ft Last Poets -The Corner nomaaa sana!!
 
Back
Top Bottom