EAC: Rais Kikwete, Kagame, Kenyatta, Museveni wasaini mkataba wa sarafu moja EAC!

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,571
1460981_744651225563433_1277681483_n.jpg


Head EAC signed the Monetary Union Protocol which will provide for a wide scope of co-operation in monetary and financial sectors among the EAC Partner States and will further catalyze trade growth within the region. We are now a people destined for greatness, prosperity and happiness. Our borders are fast becoming mere formalities. As we integrate, we cease to be a group of neighbouring nations, and become one people. Let us think with one mind, speak with one voice and walk on one road to our promised destination, "A better East Africa for all its citizens". UHURU KENYATTA




1472750_688888824476975_1331309466_n.jpg 1472750_688888824476975_1331309466_n.jpg 1488078_744651492230073_945188072_n.jpg 1463092_688888764476981_1495478489_n.jpg 1461686_744651218896767_867955557_n.jpg 995235_744651525563403_911110357_n.jpg
 
Ukiangalia kwa makini, maraisi wengine ndio wana-sign, kagame kama ameuchuna vile
 
Nakubaliana na wewe, Protocal haikufuatwaa, nadhani waliangalia viongozi wenye mikwaruzano wasikae karibu karibu, hakuna sababu yeyote Uhuru kuwa katikati yao

M7 na Kagame wapo karibu kabisa, Uhuru kawatenganisha na JK manake kagame alishaahidi kumzindua JK na kofi la uso,
 
Wanajamvi, tuwaheshimu viongozi wetu kwa kuweka tofauti zao binafsi pembeni na kurejea mezani kwa faida ya wengi. Hakuna haja ya kuwabeza, lakini tutambue muungano kama huu sio jambo rahisi na tuwatie shime na tuwape support.

Watu wa afrika mashariki ni wamoja kwa vizazi vingi na tamaduni zetu zinaingiliana sana kwa sababu tu majirani. Nawapongeza wote, tusonge mbele.
 
JK mbona huyo jamaa wa Kenya nyuma ya Kenyatta anakuangalia sana kwa jicho la kuiba, hivi umeusoma huo waraka wote isiwe unasaini kugawa ardhi
 
"Basi, yaanzapo kutokea hayo; changamkeni, mkaviinue vichwa vyenu kwa kuwa ukombozi wenu u karibu." LUKA 21:28.
 
1460981_744651225563433_1277681483_n.jpg


Head EAC signed the Monetary Union Protocol which will provide for a wide scope of co-operation in monetary and financial sectors among the EAC Partner States and will further catalyze trade growth within the region. We are now a people destined for greatness, prosperity and happiness. Our borders are fast becoming mere formalities. As we integrate, we cease to be a group of neighbouring nations, and become one people. Let us think with one mind, speak with one voice and walk on one road to our promised destination, “A better East Africa for all its citizens”. UHURU KENYATTA

Frankly speaking I hate EAC!
 
Ww unaetumia hilo jina la kiarabu si uende kwenu if you hates EAC.Mbona hata falme za kiarabu zimeungana?Acheni kuwakejeli wakuu wa nchi ------ ya paka.
 
Frankly speaking I hate EAC!



kwa nini unaichukia?...ukienda pale namanga ...sirari ...au rusumo jamiiii zipo peace ile mbaya hawabaguani pesa inatumika kotekote yaani ukiwa madukani kenya unanunua kwa tshillingau ksh...pia upande wa huku the same
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom