Jana au juzi nilimuona akifanya mahojiano kuhusiana na South Sudan. I felt something lakini sikujua ni nini,pengine na mie nna kipaji cha TB Joshua!?jana nimemsikiliza na kumuangalia katika focus on Africa....rip...
Jana au juzi nilimuona akifanya mahojiano kuhusiana na South Sudan. I felt something lakini sikujua ni nini,pengine na mie nna kipaji cha TB Joshua!?
Jamani the guy was so good na alikuwa anaipenda kazi yake. Sijui amekufa na nini at such a young age. Kumbe ni kijana wa 1972 tu?
RIP Komla.
Tiba
He! Hata mimi sikutegemea kama jamaa alikuwa kijana kiasi hicho eti 42 yrs? Yaani hii miili yetu nayo bwana taabu kweli kweli maana unaonekana kama umezeeka vile kumbe ndo baaado! Hata sisi wengine sasa hivi tunaitwa wazee at our 40s!!Jamani the guy was so good na alikuwa anaipenda kazi yake. Sijui amekufa na nini at such a young age. Kumbe ni kijana wa 1972 tu?
RIP Komla.
Tiba
Jana au juzi nilimuona akifanya mahojiano kuhusiana na South Sudan. I felt something lakini sikujua ni nini,pengine na mie nna kipaji cha TB Joshua!?
Hajafa waongo wakubwa nyie
Jamani!!!to soon Komlar.Ni kitu gani kimepata??Anyone with full details please share!!