Recent content by alex john

  1. A

    JamiiForums Tanzania TUKUNE KICHWA,kiswahili ndio mdudu gani?

    Kiingereza kimesababisha kuwa na wasomi wenye idadi kubwa ya vyeti isiyo uiana na uelewa wa wao kwani hujifunza kwa kukariri. Mtu anapojifunza kwa lugha mama huelewa zaidi na inaongeza nafasi ya kuwa mahili katika jambo ajifunzalo. Kinacho hitajika ni uhiyari na maandalizi ya kutosha kufanya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Neno kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Bishop Gwajima kuhusu yanayoendelea nchini kwa hivi sasa

    kuna wahuni wachache wanachafua hali ya hewa nchini. Watashindwa tu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la Siku ya Wajinga na madhara yake

    Mchungaji Malecela ametia aibu kama kweli hayo ndio majibu yake. Sikutarajia kwa msomi kwa Biblia kusema kila mmoja aongozwe na dhamira katika sikukuu ambayo husherehekewa kwa watu kusema uongo ikiwa Kuna mistari ya kutosha ktk Biblia inayo kataza uongo. Kama viongozi wa kiroho wanashindwa kutoa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kaburi alimozikwa Yesu chafukuliwa tena

    Issa sio Yesu kristo. Ndio maana biblia ya kiarabu haitumii neno Issa bali YASUA. Halafu ukafiri hauwahusu wakristo, kafiri maana yake mpingaji na uislamu umekuja miaka mia tano baada ya ukristo ikiwa ni mpango mahususi wa shetani kupinga ukristo. Ndio maana Siku zote uislamu hauwezi kusimama...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya viboko ipigwe marufuku mashuleni

    Adhabu ya viboko iondolewe au ipunguzwe? Maana kama kuondolewa, lazima uje na mbadala. Huwezi kuondoa viboko Afrika kwa tafiti zilizo fanywa ulaya, wataalamu wetu(watafiti ) waje na majawabu kwa mazingira yetu. Hivi tatizo ni mtoto kuchapwa viboko au walimu kuwachapa wanafunzi? kama tunalengo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Siamini kama aliyeandika ni mtanzania
  7. A

    JamiiForums Tanzania NUKUU ZA HASHIM RUNGWE

    Zote nzuri
  8. A

    JamiiForums Tanzania Haki za mwanamke ktk ndoa

    Sheria hiyo inakiuka maumbile, hata walengwa wanafahamu hilo
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kauli ya JPM , mazungumzo ya CWT na serikali hayana maana tena.

    CWT ni kama joka la kibisa
  10. A

    JamiiForums Tanzania Dada zetu tambueni hili

    Kama wanawake wako milioni Moja zaidi ya wanaume, je, wanaume ni wangapi? Je, tofauti hiyo yatosha kila mwanaume Kuowa wanne? Kwanini hukushauri Kiowa idadi tofauti na wanne? Nahisi ni kampeni ya kidini. Samahani lakini
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wangu wa Jumuiya anataka tuanzishe mahusiano ya kimapenzi

    Hama jumuiya kwani unaweza mwambia hauko tayari kufanya uzinzi, yeye akageuza na kuripoti kwa viongozi wenzie kuwa wewe unamtongoza. Atakuharibia familia huyo ikimbie zinaa HAMA kimyakimya
  12. A

    JamiiForums Tanzania CWT kukata mshahara bila idhini ya mwalimu

    "Chama kimewanusuru wengi nusura wafukuzwe kazi na utumishi kwa sababu ya kupenda watoto wa shule" sentensi hii imesababisha nipate maswali yafuatayo. 1.mwandishi amelenga walimu wazinifu wajiunge na chama hiki ili wanapo wazini watoto wa shule chama kiwatete...
  13. A

    JamiiForums Tanzania CWT kukata mshahara bila idhini ya mwalimu

    Kwa mujibu wa sheria ya ajira na mahusiano kazini, makato ya agency fees hufanyika baada ya makubaliano ya pande tatu(mwajiliwa, mwajili na chama)Makubaliano hayo lazima yaoneshe chama kitamfanyia nini mwajiliwa. Walimu wenzangu tambueni kuwa malipo yeyote unayo towa kwa chama cha wafanyakazi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania CWT kukata mshahara bila idhini ya mwalimu

    Walimu acheni woga, tafuteni kujuwa haki zenu kisheria. Ni kosa kisheria kukata mshahara wa mfanyakazi bila idhini yake, ndio maana kila katiba ya chama chochote cha wafanyakazi ina utaratibu wa kujiunga na chama hicho pia ina kipengele cha ukomo wa uanachama. Sisi hapa Manispaa ya Kigoma ujiji...
Back
Top Bottom