Kwa mujibu wa sheria ya ajira na mahusiano kazini, makato ya agency fees hufanyika baada ya makubaliano ya pande tatu(mwajiliwa, mwajili na chama)Makubaliano hayo lazima yaoneshe chama kitamfanyia nini mwajiliwa. Walimu wenzangu tambueni kuwa malipo yeyote unayo towa kwa chama cha wafanyakazi unanunua huduma, sasa kama huduma unayopata ni ndogo kuliko fedha unayo katwa, kimbia kwani unaibiwa. Sasa hiyari ni yako kuendelea kuibiwa au kukataa kuibiawa kwani she ria zipo wazi tatizo ni uvivu wako.