ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Katibu mkuu wa CWT taifa alitangaza mchakato wa mazungumzo ambayo yatafanyika mnamo wiki ijayo. kufuatia kauli ya JPM aliyoitoa Lindi inaonyesha dhahili ameyapuuza mazungumzo hayo na kuyaona hayana maana hata wakifikia maazimio yake hayatafanyiwa kazi .
Hivyo kuendelea na mazungumzo hayo ni kupoteza muda ili hali boss kashasema hafanyi chochote hadi uhakiki utakapoisha na hajasema utaisha mwaka gani.
Boss anaona jitihada zote zinazofanyika na CWT ni kama vile wanataka kumjaribu tu na mbaya zaidi ameshatoa angalizo mapema kwamba serikali yake haijaribiwi hivyo ina maana wajipange