Recent content by afande samwel

  1. A

    Augustino Lyatonga MREMA, Namvulia Kofia

    . Mtoa maada. Tunakushuru sana. umeonyesha uzalendo kwa kumkumbuka huyu mzee wetu.Hii maada imenigusa sana.Ubarikiwe ndugu. Afande samwel
  2. A

    Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

    Mkuu,Mallaba. Hiyo Barua ingeandikwa na Mbowe au Dr Slaa, JF yote ingeshangilia.Kwa sababu ni Makamba wa ccm basi ni crap.Shame
  3. A

    Members walioadimika

    . Mkuu Masaiti, Mimi nipo. Nimeamua kukaa kimya na kuwaachia watu kama akina Kail. Ambaye kutokana na ufinyu wa mawazo yake,basi kila mtu anayechangia na ni tofauti na mawazo yake basi huyo ni afande samwel. Tunawalaumu viongozi wa nchi yetu na wakati hapa jf kuna watu close minded na negative...
  4. A

    Vita ya ufisadi CCM, nani kuchukua jukumu?

    . kupigana na ufisdi sio bungeni peke yake.Kama tatizo ilikuwa sio njaa zao,basi waonyeshe kwenye wizara walizopewa
  5. A

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    . Kizuri zaidi ni Harrison Mwakyembe kupewa unaibu waziri.Sasa sijui atatwambia nini tena kuhusu ukwamishaji wa maendeleo wilayani kyela.Baado tatizo litakuwa ni mkuu wa mkoa wa mbeya?
  6. A

    GE2010 Kutumia nguvu (violence) kwenye siasa kunaruhusiwa

    . Mkuu 3D, 1.Tunashukuru kwa post yako. Nafikiri tukichapana kidogo,itapunguza madudu yote haya.vita ni vibaya sana, lakini ufundisha. 2.Walianza kufanyiana wenyewe ccm kwenye kura zao za maoni na watu tuliandika,lakini JF mkayapuuza.Ata reseachers waliokuja hapa kyela,nao waliandika,lakini...
  7. A

    GE2010 TAKUKURU yamkamata Magreth Sitta Tabora; Aachiwa kwa dhamana

    Na wasimwachie. Hawa ndiyo mafisadi wakubwa.
  8. A

    GE2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

    Mbona anavyeti vingi sana.Anaelimu ya kuunga nini?
  9. A

    GE2010 TAKUKURU yamkamata Magreth Sitta Tabora; Aachiwa kwa dhamana

    . Jamani, Hapo ndipo mnapotuchanganya sasa. Taarifa inasema amekamatwa akitaka kutoa rushwa.Sasa kelele zote hizo za nini?.Si kuna mahakama na atakwenda kujitetea huko?Ushabiki gani huu wa kutotumia akili.
  10. A

    GE2010 Exclussive: RO and TISS are intefering with CCM's Primaries

    . 3.Kuna kundi lingine la wanaojiita vinara wa kupigana na ufisadi.Nalo linamtandao wao ambapo wamejipanga kuhakikisha wanarudi bungeni, wakifadhaliwa na mfadhali wao wakila siku.
  11. A

    Mahojiano ya Dr. Mwakyembe juu ya Madai ya Lowassa...

    Sasa Maswali uliyomuuliza Dr Mwakyembe, mbona hakuna utofauti na Mwaswali aliyoulizwa Lowassa na TBC. Unauliza mswali na wakati majibu unayo? au ni kampeni? shame!
  12. A

    GE2010 Anne Kilango: Wanataka kuniua

    Huu ndiyo upumbavu mkubwa.Kila anayejitokeza kugombea, katumwa na mafisadi?So stupid. wasomi kuwa na idea ya kijinga namna hiyo.Watu watashindwa kutumia demokrasia yao,eti wametumwa na mafisadi. Kama yeye hana kesi, sasa anaogopa nini?.
  13. A

    Gaza Humanitarian Ships Leave Cyprus, attacked by Israeli Commandos

    Huu unaitwa upumbavu. Kuna njia nyingi,lakini sio kuua raia. Hiyo lecture yako ni mbuzi na ni mambo ya kizamani na ushamba mkubwa sana kufurahia mauaji.Ni u pumbavu!
Back
Top Bottom