saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 100
Asante mkuu.................Mahojiano yapo kwenye posti ya kwanza!! Enjoy!
Asante mkuu.................Mahojiano yapo kwenye posti ya kwanza!! Enjoy!
Kuna tija kujadili manaibu makatibu ... kuliko hili!!! Lowasa na Mwakyembe, hawatabadilisha matokeo!!!!!!
Ndio maana namshangaa msaili baada ya kuuliza swala la kifo cha kutatanisha cha Marehemu Mwaikusa akamwambia Mwakyembe "jambo kubwa zaidi nililokuwa nataka kuzungumzia ni (Lowassa)..."
Bado kuna maeneo ambayo wanahabari wetu wanahitaji msasa. Familia ya Mwaikusa, na wengine wetu, tukisikia unaliweka swala la kifo cha baba yao kama jambo dogo dogo kulinganisha na marudio ya maelezo ya kiongozi wa zamani mwenye kashfa ya rushwa labda wasingefurahi, na si vema.
Du, naona umekomaa siku hizi. Hongera. Turudi kwa Lowassa na Mwakyembe.you are probably right.
Mahojiano yapo kwenye posti ya kwanza!! Enjoy!
Ndio maana namshangaa msaili baada ya kuuliza swala la kifo cha kutatanisha cha Marehemu Mwaikusa akamwambia Mwakyembe "jambo kubwa zaidi nililokuwa nataka kuzungumzia ni (Lowassa)..."
Bado kuna maeneo ambayo wanahabari wetu wanahitaji msasa. Familia ya Mwaikusa, na wengine wetu, tukisikia unaliweka swala la kifo cha baba yao kama jambo dogo dogo kulinganisha na marudio ya maelezo ya kiongozi wa zamani mwenye kashfa ya rushwa labda wasingefurahi, na si vema.
Dr. Harrison Mwakyembe Mwenyekiti wa Kamati Teule iliyochunguza sakata la Richmond na ambaye ripoti ya Kamati yake ilisababisha aliyekwua Waziri Mkuu Bw. Edward Lowassa kujiuzuu amesema kuwa jaribio jingine la Lowassa kujisafisha kwa kutumia vyombo vya umma kwa maamuzi yaliyomgharibu Uwaziri Mkuu haliwezi kufanikiwa.
Katika mahojiano nami kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mauaji ya Prof. Mwaikusa na harakati zake za kurudi Bungeni Dr. Mwakyembe amesema kuwa mtu pekee anayewajibika kwa kujiuzulu kwa Lowassa ni Lowassa mwenyewe!.
SEHEMU YA KWANZA:
SEHEMU YA PILI
SEHEMU YA TATU
Please do enjoy!
Hili linchi bana yaani Mtu anatumia ubaya wa Mtu mwingine kudanganya,mhojiwa anampigia simu mhoji kwamba nihoji na MIDANGANYIKA INAKUBALIANA NA UDANGANYIFU HUU.