Woman of Substance !!!!!!!!!!! Yuko wapi huyu?
Hakuna aliyeadimika humu....ni kiasi cha kugundua tu nani anatumia ID gani siku hizi.
Ila Pundit na Bluray nao wameadimika sana siku hizi....:teeth:
Huyu ni mheshimiwa..........Gender Sensitive...
Wengi wamebadili ID zao, lakini kuna kitu ambacho tunatakiwa tukiangalie kwa umakini, hivi wanachama ambao hawaonekani zaidi ya mwaka mmoja bila taarifa hatuwezi kuconclude kuwa wamekufa?
.Afande Samweli
Nyani Ngabu
watu wana ID mbilimbili .. wote wamo humu wengine kutokana na uchaguzi wakabadili ID.. kuficha misimamo yao.. mimi mbona nina ID mbili moja ni since 2007 .. ipo katika hii post ya 2007 https://www.jamiiforums.com/sports-and-entertainment-forum/8100-hawa-wako-wapi-sasa.html
alafu watu wengi waliochangia hii post kipindi kile wamepotea
bwabwa
kukuPM maana yake lengo la kubadili ID litakuwa halijatimiaBAK jamani kama kabadili ID ki ukweli ani pm jamani......
Ahahahahahaaaah mbona huyo yupo na kajaa tele humu ndani!!!!!halafu wewe.....ngoja nikutafakari kwanza............mimi nikitoweka tu msiwe na wasiwasi habari mtaipata muda muafaka kabisa...hilo halina mjadala..........kuna huyu mpiganaji MFUNYUKUZI......hivi aliendaga wapi?