Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

Kiini macho cha Kamati ya January Makamba na Dowans

Anataka uwaziri huyu. Hoja nzuri lakini it matters zimetoka kwa nani. Inawezekana kila alichoandika kiko well calculated. Hawezi kumwangusha baba yake, Rostam, leave aside Kikwete
 
waziri hana majibu, kwanini Mh. Makamba asimlime huo waraka mkuu wa nchi? Naona kizungumkuti sasa!
 
what makes it being crap?
Unataka mpaka CDM wakisema ndio manakubali?
tunapingana kwa hoja sio chuki binafisi zisizoweza kujenga nchi yetu

Mkuu,Mallaba.

Hiyo Barua ingeandikwa na Mbowe au Dr Slaa, JF yote ingeshangilia.Kwa sababu ni Makamba wa ccm basi ni crap.Shame
 
Mh. January Makamba::: Nilikupongeza kwa kumuuliza maswali ya msingi Ngeleja ili ajibu kuhusu janga hili la Umeme.

Kuna tetesi zinasema UNAANDAA ZIARA KWENYE VYANZO VYA UMEME na mwisho wa siku mapendekezo ya kamati yako ni:::

TANESCO WANUNUE MITAMBO YA DOWANS AU KUITUMIA KUTUPA 100 MW sababu tayari ipo Ubungo na inasubiri kuwashwa tu.

Tafadhali sana tena sana huo upuuzi wa hiyo mitambo isiwe moja ya mapendekezo ya kamati. Ahsante
 
I'm whistling.. Watanzania wanapenda sana mazingaombwe!
 
Mkuu,Mallaba.

Hiyo Barua ingeandikwa na Mbowe au Dr Slaa, JF yote ingeshangilia.Kwa sababu ni Makamba wa ccm basi ni crap.Shame
wapo tuliompongeza dogo... sio kila kitu u-generalize

shame on you
 
Ndio maana niliwauliza watu wengine ni kipi hasa kipya ambacho kilikuwa hakijulikani?
MMM

YAwezekana kila kitu kilikua wazi, lakini kuna raha vinapotoka kulekule wanapokataa yaliyopo... pia si wote tuna bahati ya kuwa na access na info

to me this was news... good news indeed
 
January Makamba kwa mtazamo wangu naweza kusema kuwa hana nia ya dhati katika haya madai yake, Hayo matatizo tunayo kweli lakini hawa si ndio wapo kwenye system?Pale alipokuwa kwenye state ya mkwere hakuyaona haya? Mi binafsi najua ccm ina janja ya nyani kuleta jambo fulani linalo igusa jamii ili kufunika kombe mwana haramu apite kama vile UVCCM ambavyo huwa wanakanyaga na kufukia hoja.Hivyo tuwe makini na bendera kufuata upepo na kubakia pale ilipo ikiacha upepo ukienda.
 
kpleo.jpg
 
Ndio maana niliwauliza watu wengine ni kipi hasa kipya ambacho kilikuwa hakijulikani?

Hupendi kuwa mjinga, hupendi kuonekana mjinga, hupendi kuchukuliwa mjinga. Unakataa kuwa mjinga. Kama Waziri Ngeleja hayajui yaliyosemwa na January basi na Papa hajui Vatican ilipo!
 
Well said JM.

But was it not a pre-emption to his selection of leadership post to the parliamentary committee for enery and minerals?
 
Ni mwendelezo uleule wa tabia yetu watanzania ya kuwashangilia viongozi wetu kwa mafanikio hewa. Nilikwisha kushauri huko nyuma tuache tabia ya kumshangilia baba kwa kumnunulia mtoto wake nepi. Tabia ya kushangilia viongozi kwa mambo madogo inawafanya viongozi wetu wawe mazuzu. Mambo aliyoyaandika Januari ni hayahaya ambayo yamejadiliwa hapa JF kwa miaka kadhaa wala sio miezi, sasa ni kitu gani kipya hasa ambacho Januari kakileta au kwa sababu kamwandikia waziri?
 
hawa jamaa hawana majibu ya msingi kw asasa, kwani hawajui ni nini hata wanachokifanya hapo walipo.
It is very sad having such kind of leadership

January anataka kutuhadaa kuwa ndo kajua leo. hii ni strategy ya ku - hijack hoja za CHADEMA kisha wanatupotezea! tumewashtukia.
Haiwezekani muda wote ulikula na kunywa nao leo unajifanya ndo umeyajua na kuumia sana, huo ni usanii.
 
Hakuna kitu hapa.
Hizi ni rongorongo tu za JANUARI/CCM. Huyu jamaa alikuwa ndani ya Ikulu,siji mwandishi au karani wa Ikulu au sijui nani.
Hili SWALA LA UMEME SI GENI KWA JANUARI. Ila anajifanya hamnazo.

Tayari kule mjengoni keshapewa Uwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini.
Ngeleja tayari ameshaelekezwa na Spika Makinda kuandaa TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU MGAWO WA UMEME UTAISHA LINI baada ya swali kutoka kwa mheshimiwa Mbowe.

Januari,Ngeleja,Makinda wanachofanya kwa sasa ni dilly dallying za kisiasa za kutaka kuwachanganya Watanzania na waone kwamba CCM wanashughulikia TATIZO LA UMEME ilhali siyo kweli.

Kama ulimsikiliza Ngeleja akijibu hoja za Wabunge hasa wa Upinzani kuhusiana na swala la Umeme utagundua kwamba ni POROJO ZILEZILE ZA KUEDELEA KUWADANGANYA WATZ NA BUNGE LOTE KWA UJUMLA. Majibu yake yamejaa mipango na mikakati hewa ambayo haina mashiko.

Watanzania tunataka UMEME na siyo UUME WA NGELEJA,JANUARI AU KIWETE. We want POWER and nothing else,failure to which PEOPLES' POWER shall apply.
 
Ni mwendelezo uleule wa tabia yetu watanzania ya kuwashangilia viongozi wetu kwa mafanikio hewa. Nilikwisha kushauri huko nyuma tuache tabia ya kumshangilia baba kwa kumnunulia mtoto wake nepi. Tabia ya kushangilia viongozi kwa mambo madogo inawafanya viongozi wetu wawe mazuzu. Mambo aliyoyaandika Januari ni hayahaya ambayo yamejadiliwa hapa JF kwa miaka kadhaa wala sio miezi, sasa ni kitu gani kipya hasa ambacho Januari kakileta au kwa sababu kamwandikia waziri?

Uko sahihii kabisa lakini

Tusiasahau kuwa kikatiba January ana "meno" makali kiasi. tena kwa kuwa ni mbunge tena wa CCM naye kaonyeshwa kukerwa formally. kwa maandishi

Sio wabunge wote na hata wale wa upizani sijui kama wizara ya nishati ina kumbukumbu zao barua zao kueleza kutoridishwa na mambo ya umeme.

Sijui tukiuliza hata hawa abunge wetu wa upinzani kwa wiki wabunge wanaandika barua ngapi kwenye mawizara ,ofisi za mikoa wilaya etc. kama tutapata majibu mazuri. Wengi wanasubiri maswali na majibu kule dodoma. ...........

Tukirudi kwa january Only kama dhamira yake ni ya kweli na sio publicity tu time will tell.

Lakini tayari presentation ya barua yake imeonyesha woga na unyenyekevu. January could be productive kama angekuwa on opposition. ...
 
Back
Top Bottom