Kamanda wa TAKUKURU ahamishwa baada ya kumkamata DC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamanda wa TAKUKURU ahamishwa baada ya kumkamata DC

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by telele, Jul 28, 2010.

 1. telele

  telele Member

  #1
  Jul 28, 2010
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro aliemkamata DC ahamishwa, ashushwa cheo.

  Taarifa za uhakika zinasema kuwa kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro ambaye maafisa wake walimkamata Mkuu wa Wilaya ya Kasulu kwa tuhuma za kugawa rushwa hapo juzi, hivi leo amekabidhi barua ya kuhamishwa kituo chake cha kazi na kupelekwa mkoa mwingine lakini akiwa si kamanda tena bali afisa tuu wa kawaida.

  Hii inatosha kuashiria kwamba HOSEAH amebanwa na mkuu wa kaya kwamba kwanini anawazalilisha wateule wake wa kutoka chama tawala, HOSEAH kumbe hana ujanja, na huyo mama hata mchakato wa kumfikisha mahakamani umesimamishwa.
   
 2. A

  Audax JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  da siasa balaaa
   
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  KAMA NIKWELI HATUWEZI FIKA, sasa wao walitaka akamatwe nani?
   
 4. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Nchi hii ina wateule! Rushwa tunazisikia Tabora, Same, Kyela. Igunga........... wala!!!!
  Huu si wizi mtupu!!!!!
   
 5. a

  afande samwel Senior Member

  #5
  Jul 29, 2010
  Joined: Mar 13, 2010
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .
  Uzushi huu.
   
 6. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2010
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 407
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Watu wote wapo sawa under the law, lakini wengine wapo sawa zaidi!:bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl:
   
 7. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2010
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Ni vibaya tena haifai sasa Imani ya wananchi kwa viongozi wao itatoka wapi? ndo maana wantumia mlungula ili washinde!!
   
 8. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Inaelekea wewe ni bingwa wa kukanusha habari za rushwa (kumbuka kule umekanusha ya Mwakalinga). Kule umeeleza 'ukweli', na hapa usiishie kusema huu ni uzushi, bali uweke huo 'ukweli'. Kama hauna data kama mimi, bora usikanushe, usome tu na kusubiri ukweli.
   
 9. B

  BARRY JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Njaa kali
   
 10. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ,,,Haya, huyo amehamishwa kwa 'kumdhalilisha' DC (kama ni kweli!), Huyu aliyemdhalilisha mama SiX naye atafanywaje??
   
 11. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  DC ni mteule kaka! Mama 6 Im afraid hayumo kwenye orodha ya wateule! Inatia simanzi......!
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,263
  Trophy Points: 280
  Mapambano dhidi ya RUSHWA ni danganya toto.
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Kha!
   
 14. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Unaguna nini? Kwani wewe ni mgeni hapa Bongo?

  Yaani wewe umegundua hilo leo? Tuungane kuingoa CCM hapo Oktoba ndugu zanguni wenye mapenzi mema na nchi hii.
   
 15. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Inaonyesha jinsi gani serikali ilivyosiriaz na "kupambana" na mlungula haswa ndani ya chama tawala..
   
 16. N

  Nangetwa Senior Member

  #16
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nasubiri uthibitisho wa hizo habari.
   
 17. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Watahamishwa na kuteremshwa vyeo wengi mwaka huu. Sasa huyo alikuwa mkuu wa wilaya tu - dagaa - Na Sita aliye waziri je, nako Tabora TAKUKURU atademotiwa na kuhamishwa? Tunakwenda wapi? Bora Slaa achukue nchi hii, inaonyesha uozo ni system iliyoteuliwa hapa nchini na watu wachache waliokamata mpini wa nchi.

  Well done TAKUKURU, songa mbele, tunataka hiyo iendelee sio kwa upinzani tu bali sheria ni upanga.
   
 18. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2010
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,318
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 160
  kwanini huu wimbo usingekuwa na REmix ikawa kampen ya chadema

  NIKILALA NIKIAMKA OOH SABUNI HAZISHIKIKI
  NIKILALA NIKIAMKA OOH MCHELE HAUSHIKIKI
  NIKILALA NIKIAMKA OH DAWA HAZIPATIKANI
  SABABUU YA MAFISADII
  NIKILALA NIKIAMKA OOH ADA ZA SHULI HAZIPATIKANI
  NIKILALA NIKIAMKA OOH NYANYA BEI JUU
  NIKILALA NIKIAMKA OOH SUKARI HAZIONEKANI
  SABABU YA CCM
  CHAMA CHA MAFISADII EEY KIMELETA MATESO
  KAMA WATAMABADILIKOO EEH MPE KURA SLAA WA CHADEMA
  TUWANG'OE MAFISADI
   
 19. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #19
  Jul 29, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hii post imekaa kitetesi tetesi!
   
Loading...