Recent content by ADUI

  1. ADUI

    Unasoma kitabu gani sasa hivi?

    Edit: Pan-Africanism or Pragmatism? Lessons of Tanganyika-Zanzibar Union
  2. ADUI

    Unasoma kitabu gani sasa hivi?

    Pan-Africanisn or Pragmatism?: Lessons of Tanganyika-Zanzibar by Prof Issa G Shivji. Kinaelezea kwa undani complexities za zanzibari & union politics. Kimenisaidia kuelewa hata msingi wa huu mgogoro uliopo sasa huko visiwani.
  3. ADUI

    Dewji tajiri kijana Africa. Utajiri wa Dangote bajeti ya Tanzania

    Hongera sana kwake, hii habari ni njema sana ila kuna kitu ningependa kufahamu. Je yeye/kampuni yake ipo katika orodha ya walipa kodi wakubwa nchini? na kama huyupo, kwanini?
  4. ADUI

    Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    Kama ilivyokuwa kwa SOPA (Stop Online Piracy Act) na PIPA ( Protect IP Act) Marekani, mwaka 2012,sheria hii si rafiki kwa watumiaji wa mtandao. Ni kweli kumekuwa na matumizi mabaya sana ya mtandao lakini sheria hii haitamaliza hilo tatizo,Kamwe! Mtandao wa internet uliundwa uwe huru na watu...
  5. ADUI

    Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

    Mimi naamini kuna umuhimu wa kujijengea utamaduni wa kujisomea na kutafuta taarifa tofauti kuhusu mambo mbalimbali. Kesho mtoto wako mdogo atakuuliza kuhusu "wireless electricity" halafu utajibu kwa kujiamini "HAIWEZEKANI" halafu mtoto akafanya a simple google search na akapata "5,670,000...
  6. ADUI

    Mnisamehe ila sitawasahau waarabu wa ISIL

    Exactly how I feel right now!
  7. ADUI

    Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Katika list nimeiona Niue(island), world's first "wi-fi nation"
  8. ADUI

    Subtitles kwenye movie za Kibongo

    Hahaha JF raha sana
  9. ADUI

    Tunatangazwa 'Live' NTV Kenya kuhusiana na kusafirisha pembe za tembo kwenye ndege ya rais wa China

    Read and download Vanishing Point – Criminality, Corruption and the Devastation of Tanzania’s Elephants at http://eia-international.org/wp-content/uploads/EIA-Vanishing-Point-lo-res1.pdf
  10. ADUI

    Burkina Faso:Jeshi lachukua mamlaka ya Nchi

    Duh bonge la coincidence, ni jana tu nimetazama documentary kuhusu Thomas Sankara (Thomas Sankara: The Upright Man)
  11. ADUI

    Swala Oil and Gas (Tanzania) Plc Debut on the Dar es Salaam Stock Exchange

    Just out of curiosity, hivi ni sawa wanavyoi-address kampuni hii kama ya kitanzania?
  12. ADUI

    Muungano huu hatuutaki

    Kama kuvunja muungano kutatatua matatizo kama rushwa, kupanda hovyo kwa bei za bidhaa(leo nimenunua mafuta ya taa kwa tshs 5000 kwa lita!), uongozi mbovu, upatikanaji wa nishati,udhaifu wa miundombinu n.k. nitakua tayari kuunga mkono jitihada hizo, tofauti na hapo itabidi nijifikirie kwanza...
  13. ADUI

    Kipindi cha mkasi cha EATV, kinaelimisha nini?

    Binafsi mkasi ndio kipindi pekee cha burudani katika luninga zetu hapa nchini ninachokifuatilia. Salama anastahili pongezi, ni ubunifu wa hali ya juu sana.
  14. ADUI

    WILFRED MOSHI: First Tanzanian to reach the top of Everest !!!!

    Ndugu, mimi naomba nikushauri upitie hii blog yake Wilfred Moshi | The first Tanzanian to climb Mount Everest, naamini utapata mawili matatu kuhusu sababu za yeye kupanda mlima huo.
Back
Top Bottom