kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,623
Hakuna tatizo hapo Mtume Muhammad (SAW) aliruhusu jihad za namna hiyo. Huo ndiyo Uislamu wenyewe
We shangazi acha kuropoka ovyo!
Unajua maana ya Jihadi?
Hakuna tatizo hapo Mtume Muhammad (SAW) aliruhusu jihad za namna hiyo. Huo ndiyo Uislamu wenyewe
Kwa hilo mkuu na mimi nikuunge mkono waislamu hasa wanaofuata misingi ya dini ya kiislamu ni waungwana sana tena sana ,mimi ni mkristu lakini hatuwafikii waislamu kwa unyenyekevu na ustraabu na uungwana ,sisi wakristu ni watu wa kujionyesha na kujipiga kifua wakati wote.Kwa sasa uislamu unaribiwa na hawa wanaharakati wa uislamu na huo uanaharakati umetokana na fedha za kutoka vikundi vya waarabu huko uarabuni,na tujiulize haya mambo mbona yameanza kutokea tu hivi karibuni hasa baada ya kundi la Taliban kuanzishwa na kusaidiwa na Marekani,Marekani ilikuwa inawasidia Taliban dhidi ya Urusi ,kuanzia hapo ndio tumeanza kuona uislamu usio uislamu ,haya mambo ya udini hapo nyuma hayakuwepo chanzo chake ni hao wanaharakati wa dini ya kiislamu na wengi wa wanaharakati wa kiislamu ni kuanzia miaka 40 kurudi nyuma.Huo uanaharakati wa kiislamu kwa sasa ni kutafuta tamaa za uongozi na utajirisho na sasa ni kitu cha kawaida kuona waislamu wenyewe kwa wenyewe wakiuana eti kwa sababu za kidini,vikundi kama UAMUSHO ni kama Boko Haramu au IS ,kama Mungu haui kwa nini mwanadamu uwe na mamlaka zaidi ya Mungu ya kuua ,kuteka watoto wadogo,halafu kichekesho wao hao wanaharakati utawasikia wakisema kwa kujitoa muhanga watapata thawabu kwa Mungu lakini wao wenyewe ambao ndio viongozi wanaogopa kufa na hawajitoi mhanga.Narudia tena Islamu ni dini nzuri bali inaharibiwa na wahuni wa kizazi hiki cha nyoka!
Huujui uislamu wewe. Uislamu umekuwa ni wa kumwaga damu tangu enzi za mood and huu ndio ustaarabu wao. Tafuta maana jihad, na mujahidin hapo ndipo tambua kuwa amani na upendo kwa wote si ustaraabu wa kiislamu.
Hapo sasa, na hakuna aliyefunguliwa mashtaka wala kuhojiwa, angekuwa pilot kauwa watu naona wangempa tuzo
utajibebaaaaaa weraaaaeeraaaaaa shulemuhimuu mwinyi alisema wenzenu wanasinga nyie mnabaki kusomeshawatoto kiarabu wakifikalanne ukiukiza awajui walichosomaww weraaaweraaaa zuooniiiiWewe dada Andika kiswahili.
Kihaya mpaka kwenye Vidole?
Duhh!
utajibebaaaaaa weraaaaeeraaaaaa shulemuhimuu mwinyi alisema wenzenu wanasinga nyie mnabaki kusomeshawatoto kiarabu wakifikalanne ukiukiza awajui walichosomaww weraaaweraaaa zuooniiii
Cha kushangaza hakuna hata mmoja aliyelaani mauaji ya kimbari yaliyofanywa na USA na NATO yakishirikisha silaha nzito nzito kuwaua wa Iraq wa Syria na wengineo.
Mtoto anaona wazee wake wameuliwa mbele yake halafu akikuwa unategemea atampenda aliowaua wazee wake?
Unyama wa kuuwana kwa mamilioni uliofanywa kwa kuuwana Wakristo kwa Wakristo vita ya kwanza na ya pili ya Dunia sijasikia mtu akiushutumu Ukristo kuwa ndiyo uliofanya mauaji hayo.
Mauaji ya kutisha yaliofanyika Ireland ya kuuwana Wakristo kwa Wakristo sijasikia mtu akilalamikia Ukristo.
Mauaji waliouna Rwanda Wakristo kwa Wakristo ki unyama kabisa sijasikia mtu anaulaumu Ukristo.
Mauaji yanayofanywa leo hii na anti balaka ya kusafisha kabisa kila Muislam anaekutwa sijasikia ukilaumiwa Ukristo.
Leo mtu anakuja na daku zake halafu anaulaumu Uislam kwa mambo ambao hatuyajui na nna wasiwasi mkubwa sana kuwa wanayoyafanya hayo ni hao hao adui za Uislam ili kuupaka matope Uislam.
....usiogope ndugu hiyo ndio Vita !.......ulitaka wampe juice !?:A S-frusty2: Umesahau Yeye alikuwa na ndege na alikuwa anawakunguta na makombora na si kuwatupia biscuit !
Acheni unafiki, amepata alichostahili, kwani na yeye alikuwa kwenye 'mission' ya kuua wenziwe. Style tu za mauaji zinatofautiana.
Hao ISIS wanapigwa na ndege za mataifa yote makubwa akiwamo Mmarekani.
Hivo bila shaka watakua wanavipata kutoka kwa babu yao allah
Hivi umewahi kujiuliza 'supplies' (silaha na madawa) hawa jamaa wanapata kutoka wapi !?:noidea: kambagasa
Kazi aliyokuwa anafanya huyo rubani wenu huko syria
Afadhali wewe umekubali kua IS ni wasilamu safi waliovitani kumpigania allah, maana wengine wanadanganyana kua eti IS ni mayahudi lakini askari walioko ground ni sunni satanists.
[/SIZE] Hivo bila shaka watakua wanavipata kutoka kwa babu yao allah

Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mkristu. Baba yangu kabla hajasitaafu aliwahi kufundisha shule moja huko Kigoma ujiji shule iitwayo Bugamba.
Wenyeji wa kule asilimia kubwa ni waislam, waislamu wa Kigoma ni wakarimu sana hakika nilijumuika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kuamsha waumini wa kiislamu kula daku usiku kwa ngoma baada ya kupitiwa na rafiki yangu muislamu kwa jina la Migezo pamoja na marehemu Pili watoto wa mwalimu Babu.
Baadae miaka ya 2004 nilienda kutafuta maisha Zanzibar na sehemu ya kwanza kuishi ilikuwa Mwembemchomeke kabla sijahamia Melisita ukivuka Kwerekwe kuelekea Fuoni. Ndg zangu ukisikia watu wema basi ni Wazanzibar japo wapo wachache wenye chuki zao binafsi na wabara.
Nilitafutiwa kazi na marafki zangu wa kiislamu nikaanza kazi huko Bwejuu (hotel sitaitaja). Niliamua kurudi bara nikiwa tayari na mtaji wangu wa kuanzia biashara.
Mwezi uliopita nikiwa naangalia Aljazira na mke wangu niliona rubani wa Jordan akikamatwa na kundi la wanajeshi wa ISIL lakini nikajipa moyo kuwa watamuachia kwa vile ile ni kazi yake, pili ni ndugu yao (mwarabu), tatu ni muislamu mwenzao. Nimetoka dukani usiku huu na kukuta Breaking news Aljazeera wakiwa wamemuua kwa kumubanika kwa moto.
Mara ya mwisho nilimuonyesha mke wangu video kupitia youtube jinsi walivyomkamata. Mke wangu amelia kabisa kwa ukatili wa hawa jamaa zetu waarabu waislamu wa ISIL. Hakika sitawasahau waarabu wa ISIL.
Hukuumia siku usa walipo ivamia irak wala hukuumia siku usa ilipo shambulia ikulu ya libya na kuuwa watoto wasio na hatia hukuumia siku aliyo tunguliwa rais habirimana wa ruwanda na mwenzake rais wa burundi? Ivi nyie wakiristo wa dunia ya leo macho yenu yanaona uchafu wa waislam tu uchafu wa wakiristo wenzenu macho yenu hayaoni? Leo dodoma polisi kachinjwa alhamdulillah kachinjiwa dodoma ole wake angechinjiwa znz kingenuka kila mahala hata humu jf..