NimekitamanThe power of positive thinking
u can have itNimekitaman
Dah booonge la buku hili!48 Laws Of Power...
Safi sana Mkuu. Nawezaje kukipata kitabu hiki? Nimejaribu kukisaka online naona ngumu kukipata. Kama una soft copy unaweza ku-share?Mimi nasoma kitabu kinachoitwa "ENERGY FINANCE AND ECONOMICS" (Analysis and Valuation, Risk Management and Future of Energy" by Betty Simkins and Russell Simkins. (2013)
Kutokana na kugundulika kwa nishati ya gesi asilia nchini nimeamua nijisomee ili nione uwekezaje wako unafanyika vipi Duniani na nini nafasi ya wazawa kushiriki katika uwekezaji wa mali asili hii, je inawezekana kwa kuangalia mifano ya nchi zingine Duniani zenye mali asili ya mafuta na gesi asilia.
This book provides the latest information and insights into the finance and economics of energy and it is the first book to provde this breadth of coverage on this topic (Simkins and Simkins, 2013).
Daah nimekisoma mwaka jana hicho vuta nikuvute...kizuri sanamimi nasoma vuta nkuvute cha Adam Shaffi.
nikimaliza nitasoma A grain of wheat cha Ngugi wa Thiong.
kinahusiana na nnDaah nimekisoma mwaka jana hicho vuta nikuvute...kizuri sana
author na maudhui?FOOLS DIE
vipo jaribu kucheki kwenye pages za uzi huuVya kiswahili hamna? nasie akina kayumba tuambulie japo kiduchu?
by Mario Puzoa
author na maudhui?
Getting to YES
Kutakusaidia sanaa katika mambo ya "negotiations " hasa kwenye biashara
rich dad soft copy tumaa emailmimi nina rich dad and poor daddy ya kayosaki.....mwenye soft copy za huyu jamaa plz anisaidie
Mkuu naweza pata soft copy kupitia. Octaviankweka1993@gmail.commkuu bahati mbaya nina soft copy,mlimani city pale kuna frame naona hua wanauza vitabu posta pia huwezi kosa