Kipindi cha mkasi cha EATV, kinaelimisha nini?

kun amiwatu ipo too rigid............yani muda wote inawaza tu kuelimishwa...kwani uliambiwa elimu mpaka darasani ndo uelimike??? embu grow up bana...........in such mimi huw anajifunza mengi sanal;from personal confidence,lifestyles na uzuri watu wa aina zote tunawapata pale na kujifunza mambo mbalimbali y akijamii especially mitizamo yao................pole yako ww unaeongea na monitort yako kaa projector confedence level 18%
 
just for entertainment na kupumzisha akili baada ya kazi kwa siku nzima ya J3, salun pale ndo gud and smple mitting point ambapo watu huweza ongea mambo kibao, si wapajua salun mkuu, sa wakakae wap kwingine

in addition..thus why it was branded "MKASI" coz it's a utensil ussually available in salons...
 
maendeleo yashatushinda, ubunifu wa vipindi vya kuhamasisha watu kuwa wazalendo nao hatuna basi acha tuburudike na mkasi afu mwisho wa siku tunaenda ulaya kubeba box na kuomba uraia wa huko!
 
Jamani,sijui mimi ndo niko nyuma ya ulimwengu au vp?ivi hiki kipindi cha mikasi kinachoongozwa na salama kinaelimisha nin hasa?


Usitumie kichwa kubebea masikio...
sio kila kipindi unatakiwa uelimike.
Kuna vipindi vya kutafakari, kuna vipindi kuburudisha, kuna vipindi vya kufundisha, kuna vipindi vya kuelimisha, vya kuhuzunisha na vingine kede wa kadha.
 
ila aache kutuletea watu waongo bwana...wanaume waongo mpaka unajisikia aibu
 
ila aache kutuletea watu waongo bwana...wanaume waongo mpaka unajisikia aibu

shosti..wangu nimekumiss au nawe ulijitia dubai au ma hong kong nini!mia mia!...salama anaweka watu fake sana hata mimi nimechanika!
 
Last edited by a moderator:
Jamani,sijui mimi ndo niko nyuma ya ulimwengu au vp?ivi hiki kipindi cha mikasi kinachoongozwa na salama kinaelimisha nin hasa?

Shule vp uku ungwinin? Sanaa(fasihi) ina elimisha na kufuraisha,unataka kuniambia mpaka sasa haujagundua chochote kutoka mkasi? Nina wasiwasi na upeo wako coz mangwin ni wepesi sana kuchanganua mambo nashangaa wewe mzito au ulishkwa mkono na mkandala?
 
Binafsi mkasi ndio kipindi pekee cha burudani katika luninga zetu hapa nchini ninachokifuatilia. Salama anastahili pongezi, ni ubunifu wa hali ya juu sana.
 
a very boring tv show! cant waste my precious time watching such a boring program
 
Kwani kipindi cha wema kinakufundisha nn? sio vipindi vyote ni elimu,vingine ni burudani tu mkuu.
 
Back
Top Bottom