Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

Money Stuna twashkuru kwa taarifa hiyo, kuna baadhi ya nchi umeweka na star ( * ) tupe maelezo yake...Je ni kweli Qatar unapata visa on arrival ? Watanzania wakatafute fursa ya ajira haraka hapo kabla hawajafunga huo mlango.
 
Money Stuna twashkuru kwa taarifa hiyo, kuna baadhi ya nchi umeweka na star ( * ) tupe maelezo yake...Je ni kweli Qatar unapata visa on arrival ? Watanzania wakatafute fursa ya ajira haraka hapo kabla hawajafunga huo mlango.

hizo ni visa za kutembea tu unapewa si kuamia kufanya kazi ata hivyo qatar wanahitaji sana waganda na wakenya wengi wameenda kuna agent wengi wanawapeleka sababu ya kujua English na hakuna mlolongo wa vibali vya kuchukua watu tofaut na Tz process ndefu.

serikali za uganda na kenya zina encourage watu waende watafute watume pesa nyumban.

pesa zinazotumwa na wakenya walio nje ni dolla billion 1.5+ wqkati kwa tanzania ni 200 million dollar tu
 
Nchi au takataka hizo why USA NA UK hamna? Jiulize..

Hapana,si kweli.Siku hizi fursa hazipo USA na UK pekee.Dunia imebadilika mno,maendeleo yapo kila kona.Ndio maana hata watu wa mataifa mengine wanamiminika hapa nchini,maana wanaziona fursa.
 
Macau na Malaysia ni nchi mbili tofauti. Naamini ni typo, au siyo?
 
nafkiriaga sana kwenda qatar ila sijajua pa kuanzia asee,,ukikaa sana nchin kwako akili inasizi
 
Katika list nimeiona Niue(island), world's first "wi-fi nation"
 
......nchi zote hizo wachovu kama bongo, ndio maana unaweza kwenda bila visa.
Kweli, siMshauri mTZ aende bila kuchukuwa VISA, Hapa kuna ulakini...maaana nimeshapoteza tiket kwenda na kukwama airport mra kadhaa!!
 
UK walifutaga visa kwa watanzania sema tatizo hao wa watanzania waliokuwa wanaenda huko wengi walikuwa wahindi jamaa wakastuka

Wahindi wengi walikuwa na pasi ya Uiingereza au wenye uwezo. Hata leo unapewa viza za miaka kumi kama una uwezo. Watanzania wengi waliozama UK mpaka wakalazimisha viza ziombwe ubalozini ni Wazawa. Wengi walikuwa wakimbizi Feki. Nenda kwenye sherehe yoyote ya kibongo utawakuta.

Jibu unalijua lakini unaongea matapishi. Tanzania iliporuhusu watu kusafiri, hali ya Wazawa ilikuwa ngumu sana. Wengi wakachukua nafasi ya kwenda Uiingereza na kujiripua. Tulikuwa tunapewa miezi Sita Heathrow, miezi mitatu Nchi za Scandinavia mpaka Canada na Australia. Kote nimefika na pasi yenye nafasi ya "picha ya mke" na ya kwako. Unaikumbuka au hujazaliwa?
 
Wanaolilia US ma UK muulizeni Lemutuz kwanini karudi kuanza upya hapa bongo ..kuna nchi hapo zina fursa nyingi tu ha sa biashara.
 

​
kunautaratibu wa kila nchi katika kuruhusu wageni kuingia nchini mwao. Nchi zote duniani huitaji visa itakayokupa ruhusa wewe kukaa nchini mwao kwa kipindi utakachokuwa umepewa.
Lakini kutokana na urafiki na makubaliano ambayo huwa yanafanywa na baadhi ya nchi juu ya uhuru wa kutembeleana kwa watu wao, huwa wanaamua kutoa kikwazo cha visa na hivyo kururhusu watu wao kutembeleana pasipokuwa na visa.
Tanzania inajumla ya nchi 76 ambazo mtanzania anaweza kutembelea pasipokuwa na visa ya kumuwezesha kuingia ndani ya nchi hizo.

Baadhi ya nchi hizo ni Albania, Cook Islands, Djbouti, Dominica, Ethiopia, Ecuador, Fiji, Grenada, Gambia, Georgia, Haiti, Nepal, Namibia, St Lucia, Singapore, Seychelles, Swaziland, Tuvalu, Togo, Trinidad & Tobago, Timor-Leste, Uganda, Vanuatu, Zambia, Zimbabwe

zingine hizi hapaAntigua & Barbuda
Albania *
Armenia
Azerbaijan
British Virgin Islands
Barbados
Bangaladesh
Botswana
Burundi
Bahamas
Belize
Bermuda
Bolivia
Cambodia
Cayman Islands
Cape Verde
Comoros
Cook Islands
Djibouti
Dominica
Ethiopia
Ecuador
Egypt **
Fiji
Grenada
Gambia
Guinea
Georgia
Haiti
Hong Kong (3months Visa upon arrival)
Jamaica
Jordan *
Kenya
Kosovo
Laos
Lebanon *
Lesotho
Libya *
Liberia
MacauMalaysia (1 month visa upon arrival)
Madagascar
Maldives
Malawi
Mauritius
Micronesia
Mozambique
Montserrat
Mongolia
Nauru
Niue
Nepal
Namibia (1 month visa upon arrival)
Nicaragua
Palau
Philipines
Qatar *
Rwanda
Samoa
Suriname *
St.Kitts & Nevis
St.Vincent & Grenadines
St. Lucia
Sierra Leone
Singapore (1 month visa upon arrival)
Seychelles
Swaziland
Tuvalu
Togo
Turkmenistan *
Trinidad & Tobago
Timor-Leste
Uganda
Vanuatu
Zambia
Zimbabwe
In the case of Egypt, travelling without visa applies only if touring the Sharm el sheikh resorts.



Also South Africa
 
Back
Top Bottom