Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

UMEME KUWA WIRELESS HAIWEZEKANI KAMWE NI SAWA NA KUSEMA IVUMBULIWE WELDING MACHINE KWA AJILi YA KUUNGIA MBAO
Sayansi inakua mkuu, zamani kidogo tulizoea simu ya waya hatukuamini kama mtu anaweza kuwa na kadude kadogo akaongea popote na wakati wowote dunia nzima. Tulikuwa tunasikia zile za upepo za viwanja vya ndege. Sasa hivi kuna ndege zinakwenda bila rubani na wameshagundua gari linalokwenda bila dereva. Angalia matangazo ya TV. Mtu yuko maelfu ya kilomita toka ulipo lakini unamuona na kinachotendeka wakati huo huo. Mkutano unaweza kufanyika Arusha lakini wahudhuriaji wakawa wengine Marekani, Uingereza au Ufaransa na wakawa wote wanajadiliana kama vile wapo ukumbi mmoja -video conference. Umeme wa sola nao ni sawa na kusema ni wireless power. Itafika wakati tutaona usambazaji wa umeme bila nyaya kama sio kizazi chetu basi kijacho
 
Watu wasichoelewa ni kwamba umeme wa 'wireless' sio lazima usafiri as 'electricity'.., inaweza ikawa transfered as a magnetic field ambayo baadae inakuwa re-converted back to power again. Ni kama umeme unavosafiri as solar waves (heat&light/infrared waves) ambapo inakuwa captured na kuwa converted into usable electric power, it couldn't be more POSSIBLE & PRACTICAL. Tatizo ni pale utakapofikiria kuusafirisha umeme as ulivyo.., that would indeed be difficult and challengeous!
 
Kasomeni mtu mmoja anaitwas Tesla, Miaka ya 20 alitoa wazo la Global wireless electricity,akapeleka hilo wazo lake kwa mdhamini wake,Rockafella family,wakamuuliza where do we put meters,akawaambia there is no need of meters,it is wireless,wakamuondolea ufadhili na mradi ukafa maana hao kina Roka wao ni hela tu,jambo lolote linaloonekana kutowafaidisha hawalitaki.

Kwa hiyo usibishe jambo usilolijua,ni dalili za ujinga.
nikola tesla huyu mgunduzi wa Ac current?
 
Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-baka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL.

Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-bake yenyewe hadi kufa!

Hilo linawezekana lakini si miaka hii ya karibuni hiyo issue itabidi isubiri sana kwa sasa labda kama unataka vifaa vya kukinga/kunyonya na kuhifadhi umeme wa radi
 
"imposible"haiwezekani kwa umeme!

Mkuu hata kwa sayansi ya darasa la saba tu unaweza kugundua kuwa haiwezekani umeme kuwa wireless.

Haiwezekani kusafirisha nguvu ya umeme hewani kama radi, maana sio salama.

Haiwezekani.
Kwanini isiwezekane..unajua science na technologia inakua kwa kiasi gani katika nyanja ya umeme....

Hivi unafahamu kabla ya computer data zilikuwa zinahifadhiwa vipi...hivi unajua aliyekuja kusema anataka kubadili mfumo wa kuhifadhi data kutoka kwenye makaratasi hadi electronic alipingwa na wataalam wa dunia nzima,leo hii bank gani utairudisha miaka ya 1800?
 
hiyo teknolojia iligunduliwa zamani sana, ila kilichofanyika ni kuuzuia maana ilikuwa mtu unaweza kuutumia huo umeme sehemu yoyote ile na kusababisha mtu kutolipia ambapo mwisho wa siku huleta madhara ya uchumi. Nadhani kwa sasa hiyo teknolojia itakuwa imeongezeka na mtu utaweza kuilipia.
 
Wakitulia magaidi wa kiislamu mbona ni issue ndogo sana hiyo kwa wanasayansi na hata ukimwi utaangamizwa.Tatizo pesa nyingi zinatumika kujilinda zidi ya ugaidi unaofanywa na waislamu hadi dunia inarudi nyuma kisayansi.
 
Ni ngumu sana umeme kuwa wireless, Electric charge lazima zisafiri kwenye kitu ambacho kinapitisha hizo charge, Hewa hutumika kama kikinzani (resistance) tena ni resistance kubwa sana, unapokuwa na gap dogo tu la kama 0.1mm linatosha sana kukata umeme hasa huu umeme mdogo, kwa hiyo unapokuwa na gap la kama 5km kutoka kituo kimoja hadi kingine ukinzani wake ni balaa na kama kuna nguvu ya umeme itapenya hapo maana yake viumbe hai vilivyopo katikati ya hivyo vituo vitakufa vyote maana haviwezi kuhimili hiyo nguvu.

Kuna kukariri na ukaelewa pia we bado umekariri...
 
Bora usome uishie katikati, ukisoma sana unarudi kuwa mjinga tena, wewe huwezi kufikiria hata hili dogo, Charge wireless imeshatengenezwa na inatumika maeneo mengi, vipi miaka 30 mbele hiyo tech haitaweza kusafirisha umeme
 
Mimi naamini kuna umuhimu wa kujijengea utamaduni wa kujisomea na kutafuta taarifa tofauti kuhusu mambo mbalimbali. Kesho mtoto wako mdogo atakuuliza kuhusu "wireless electricity" halafu utajibu kwa kujiamini "HAIWEZEKANI" halafu mtoto akafanya a simple google search na akapata "5,670,000 results!" kuhusu kitu ambacho umeshanena kwamba hakiwezekani.
Tuiepuke hii fedheha,upatikanaji wa taarifa na maarifa umerahisishwa sana siku hizi, tuitumie hii fursa vizuri.
 
Mwanasayansi wa kale aliyekuja na wazo hilo alifariki wakat anaanza kufanya majaribio na majaribio hayo yalifail...kwa hiyo bado hapajapatikana hiko kitu,na pengine yakupasa usome unapozungumzia umeme ujue unazungumzia kitu gan...
 
"imposible"haiwezekani kwa umeme!

atlanta01.jpg
wireless_power1.jpg
hdwcw3.jpg
WPTIntersection3-09.jpg

how_witricity_works_thumb.jpg
 
hiyo teknolojia iligunduliwa zamani sana, ila kilichofanyika ni kuuzuia maana ilikuwa mtu unaweza kuutumia huo umeme sehemu yoyote ile na kusababisha mtu kutolipia ambapo mwisho wa siku huleta madhara ya uchumi. Nadhani kwa sasa hiyo teknolojia itakuwa imeongezeka na mtu utaweza kuilipia.
Ofcourse.., hata simu unalipia bundle la mb 8 japo ni wireless.., isn't it?
 
Francis, kwakawaida kuna interconnection kati ya simu na mitandaoni kwa njia ya wireless ambayo huifanya simu iweze kuwa controlled huko mitandaoni hata kama kukukata salio lako na kukupa mb 8 au kukutrack.
 
Back
Top Bottom