Recent content by Achinsyene

  1. Achinsyene

    Ushauri wenu ndugu zangu kabla ya maamuzi!

    Muache, la sivyo utakufa mapema kwa mawazo.
  2. Achinsyene

    Hivi nafasi ya Shaka ni cheo cha kudumu, mbona hakuna uchaguzi wakati mwenyekiti tumefanya?

    Huyo Shaka ni nani na ana cheo gani? Umeandika kana kwamba kila mtu anamfahamu huyo kiumbe.
  3. Achinsyene

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mtwara Manispaa nije Iringa mjini au vijijini. Idara ya Sekondari. 0762278840.
  4. Achinsyene

    Kuhusu alichosema Rais Magufuli: Viwanda 3,306 viko wapi?

    Acha kubisha, umeambiwa ukiwa na cherehani nne hicho ni kiwanda. Sasa unabisha nini kuwa na idadi hiyo ya viwanda?
  5. Achinsyene

    Nahitaji msaada wa kisheria wa jinsi ya kulipa deni langu kwa mkupuo

    Habari ya asubuhi wakuu. Mimi ni mfanyakazi wa serikali. Mwaka 2014 nilichukua mkopo kwenye benki moja kwa mashart ya kukatwa kwenye mshahara wangu kwa muda wa miezi 48 (miaka minne). Lakini pia mkataba uliruhusu kulipa kwa mkupuo binafsi baada ya kukatwa kwenye mshahara wangu kwa muda...
  6. Achinsyene

    Ambao hawajaingia kwenye ndoa fikirieni mara 100 kabla ya kuingia

    Upande wangu, mama mkwe alipotutembelea tu mke wangu alibadilika ghafla. Hapendi ndugu yangu yeyote, hata mama yangu anamchukia bila sababu.
  7. Achinsyene

    Msaada: Nilifunga ndoa ya kidini, nahitaji cheti cha ndoa cha serikali

    Pole sana mkuu; vyeti vya ndoa vya serikali huwa wanapewa mashehe, au wachungaji, au mapadre au maaskofu rasmi ambao wana vibali rasmi vya kufungisha ndoa. Kwa wakristo si kila anayeitwa mchungaji anakuwa na uwezo wa kufungisha ndoa bali mwenye kibali tu. Kwa waislamu unaweza kufungishwa ndoa na...
  8. Achinsyene

    Simu yangu aina ya HUAWEI Y520 huwa inazima kila baada ya dk 3

    Habari wakuu. Simu yangu aina ya HUAWEI Y520 huwa inazima kila baada ya dk 3, hususani nikiwa ninaitumia; ila kama siitumii na nimeiwasha, haizimi. Nimejaribu kufanya factory reset zaidi ya mara tano lakini bado tatizo linaendelea. Kwa wajuvi wa tatizo hili, suluhisho ni nini?
  9. Achinsyene

    Crazy things you did in secondary school

    Hiyo kwa shule za gvt ni kawaida tu.
  10. Achinsyene

    Hodi.

    [emoji23]
  11. Achinsyene

    Naombeni ushauri nataka niwe nawahi kuamka

    Aisee ukiishi karibu na msikiti ni kero sana. Utaamka tu!!! Nimeipitia hiyo.
  12. Achinsyene

    Iran Yawekea vikwazo makampuni ya marekani ambayo hats hivyo hayo makampuni hayafanyi biashara na Ir

    Ungeweka kwa kiswahili kama kichwa kinavyojieleza ingekuwa vizuri zaidi.
  13. Achinsyene

    Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

    Huyo dada amechemsha; ukimsikiliza vizuri utagundua alibeba mimba October 2015 halafu amejifungua December 2016, kwa hesabu ya kirumi alibeba mimba miezi 14 ni uongo ulikithiri.
Back
Top Bottom