For JamiiForums Mobile users

Wanafunzi wako hawawezi faulu hata kwa miaka 10 kwa sababu hujui kufundisha
sawa mkuu mafundisho yako hayaeleweki
 
PIA Njia Hii Iko Poa KULIKO HIYO YA KUKARIRI COLOR CODES
[color=Jina la Rangi utakayo]SENTENCE UNAYOTAKA IWE NA RANGI[/color]
Mfano [color = blue]JAMIIFORUMS[/color] WEWE USILUKE NAFASI HAPO KWENYE = MIMI NIMELUKA ILI UONE KAMA NISINGE LUKA NAFASI INGE ONEKANA HIVI JAMIIFORUMS
Pia UNAWEZA KU BOLD MANENO KWA KUYA WEKA KATIKATI YA [ b ]maneno unayo taka yawe bolded[/b] kumbuka kuto weka nafasi katika hizo helufi b ndani ya mabano
Mfano: JAMIIFORUMS
PIA KAMA KUNA MTU ANAHITAJI KUJUA KUWEKA PICHA KATIKA THREAD ANAWEZA ULIZA. PICHA KAMA HII
211187_135522666523853_7224822_n.jpg
kalenga kidamali
 
Back
Top Bottom