Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Friday the 13th is considered a day of bad luck in English-, French- and Portuguese-speaking countries around the world, as well as in Austria, Germany, Estonia, Finland, The Netherlands, Belgium...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Leo nimepata aibu sana jamani. Kuna watu wanataka kwenda Tanzania kuona Simba. nikasema easy, tuma maombi sweden mara moja. kufungua mtandao wa embasy wameweka simu hii +46 8 732 24 30/31...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
If you receive a mail called' POSTCARD,' even though sent to you by A friend, do not open it! Shut down your computer immediately. This is the worst virus announced by CNN. It has been...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Global Positioning System (GPS), space-based radio navigation system, consisting of 24 satellites and ground support, that provides accurate, three-dimensional position, velocity, and time, 24...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
CUF hawana wakati wa kurudi mezani na mtu huyu maana hata kwenye Chama chake amewekwa kama tools tu hana mamlaka ya kuthaminiwa maamuzi yake as a tools ni kwa matumizi tu.Na ikiwa mtu wenyewe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta wachezaji kutoka afrika hasa watanzania kuja kujaribu soka hapa. Uwezekano wa kupata timu ni mkubwa kama yeye ni mchezaji maana atajaribiwa ktk timu nyingi na za daraja tofauti...
0 Reactions
51 Replies
11K Views
Sasa mie expert! Lakini bado si expert sana lakini ninazo mia mbili Uwiii! mia mbili, mia mbili na upuuzi mwingine!:confused::mad::p:eek: hizi nazipenda ninazo kama mia mbili na upuuzi mwingine...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Namtafuta rafiki yangu aitwaye TANU OKONGO rafiki yangu huyo tulisoma wote katika shule ya msingi Mihayo pale Tabora mwaka 1975. toka mwaka huo tulipomaliza shule ya msingi sijamuona tena...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Fellow Forummites, My best friends are going for a tour in Dar es Salaam. They are very interested to met with Richard Beduizenhout wa Big Brother Africa 2. Is there anyone please who has...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari! Je! ungependa kubadilisha Kipato chako? Je ungependa kuwa Majasiriamali? Kama jibu lako ni ndio na umedhamilia tuma msg kwenye namba hii:-0787 464 424 ukiandika jina kamili utasaidiwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
msikilizeni Mwanakijiji ndani ya Bongo Radio
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nasema mafisadi wameshinda kwa sababu wamefanya ufisadi mpaka Forum ya DINI imepotea mafisadi wakubwa nyie.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Ndugu wana JF kwa huzuni kubwa na masikitiko napenda kuwataarifu ule mwili wa mpendwa wetu ULIMBOKA MWAKIFUNA aliefariki hapo wichita uko USA kwa ajali ya...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Please why are we leaving over school leavers behind. all advertisement i come across they write" job vacancy but 2 or 3 years experience. what about those who are not experienced is it that they...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
http://jobs.guardian.co.uk/?gusrc=gu_jobs_box_Network%20front&link=Network%20front_jbx_brse
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani, Nimeiiona hii kwa michuzi na nilidhani labda watanzania wenzetu walioko Kansas ambao wanamfahamu zaidi marehemu wangeiweka hapa. Kwa kweli mimi sijui sana kinachoendelea ila nitajaribu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tatizo la MALARIA ni sugu sana kwetu lakini cha ajabu ni huy kijana ndio ameleta mwamko katika ulimwengu na sisi bado tunapiga gumzo vijiweni wasomi wetu mko wapi Web guru targets malaria with...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeipata habari hii toka kwa Michuzi kuwa Kipenzi cha wengi Mama yetu Maua daftari kafiwa na Mumewe!.. Inna Laah wainali Laah Rajiun!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Asalaam alykum, Ndugu zangu, kwa huzuni nawapa taarifa kuwa ndugu yetu,kaka yetu na mwenzetu Omari Lambi alifariki jana hapa London katika hospitali ya university College Hospital -Euston kutona...
0 Reactions
35 Replies
10K Views
Tumejaribu kuwaletea burudani kwenye KLHN. Burudika na vibao vya kwetu hadi uchoke. Huwezi kudownload though ni burudani ya masikio yako tu. Kwenye ukurasa wa mbele chini ya "Google search"...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom