Mia Nne na Moja! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mia Nne na Moja!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Sura-ya-Kwanza, Jun 1, 2009.

 1. Sura-ya-Kwanza

  Sura-ya-Kwanza JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2009
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 561
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimetoka JF Ville Forest Reserve, nikapiga kona kwenye jengo la mahusiano Kufyoka na Ushauri- Nikakutana na haya...

  Mhh

  Kule Forest Reserve nilipita kutoa hongera za Nyani wa kule. Cha kustaabisha mrembo wa warembo...nasikia anaitwa kikombe cha keki, hakutokea!
  Bana we, minongo'no yao...

  Huko nyuma 'Miogomvi mingine'

  Ze-Marcopolo naye kaniacha hoi! Kudos!

  Sasa Nyani tutamkoma "Nyani Giladi that is":D sasa na mie nna mia nne na tano?

  Anywey

  Napenda kuto shukurani kwa wazito wa JF...Bila nyinyi na wanahudhuria magwiji na wengine wote watembelevu wa Jamii Forums, haya mabandiko 401 yasingeweza kuwa matarajio @ list ya kwangu:confused:

  Matarajio yangu JF is "A Force to Reckon With" I submit.

  Vivyo hivyo "Where We Dare to Talk Openly"

  Kula Breki!!! bado inatafuta wabunifu kama yule wa Kwanza! Ze-Marcopolo anafit hiyo dozi, Kudos again.

  Wananchi na Wanajamii kwa ujumla: Huu ni ukumbi wa Maukumbi. Tumia kumbii hili kujielimisha,kujiliwaza,tukana tu-ili mradi isiwe matusi,. Kwa maana nyingine simama na msimamo wako.

  Toa hoja:cool:, changia hoja:rolleyes:, zungusha hoja:p(hii nasikia inaitwa spinning):D
  Haribu hoja:p, Ua hoja:mad:!

  Let's do it "Amicably"
  Kutoka mia nne na moja uhusiano weno wote unakaribishwa!
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sawa mkuu Sura ya kwanza......sijui ukiingia sura ya pili itakuwaje....!
   
Loading...