Viwanja vinauzwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vinauzwa!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Serendipity, Jun 2, 2009.

 1. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  VIWANJA VINAUZWA, VIPO MAENEO YA BUYUNI, MANISPAA YA ILALA, DAR ES SALAAM
  VINAUKUBWA KAMA IFUATAVYO, 1. 1300 sq. meter ( low density), 2. 1100 sq meter na 3. 980 sq meter
  Vyote ni maalumu kwa biashara na makazi (commercial/residential plots), unaweza kuviendeleza kwa kujenga makazi au makazi na biashara au biashara pekee, mfano Bank, hotel/guest house, Bar n.k.
  Viwanja vyote vina hati miliki (Title deed for 99 years!). Bei ni maelewano, Kwa sasa sipo Tanzania ila nategemea kuja bongo tar 26 Juni 2009, nitakuwepo mpaka October 2009 hivyo kama kunamtu anahitaji kukagua viwanja hivyo na bei yake, tuwasiliane kwa email;dpwande@gmail.com
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Price?
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Bei kasema maelewano......but tenga si chini ya 7m kwa dar navyojua...
   
  Last edited: Jun 2, 2009
 4. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Buswelu

  Mbona wewe unampangia bei?
   
 5. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Poa tutakutafuta mkuu; ila swali moja tu hivi ndio vile vilivyokuwa vinauzwa na wizara ya ardhi? au ni Buyuni nyengine??? Maana vile vya serikali karibu vingi vilienda kwa watu wachache wenye undugunization na jamaa wa adhi.

  Nimekutumia email kwa maswalizaidi, icheki then nijibu.

  Thanx
   
 6. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ninavyojua eneo hilo halina mtandao wa maji ya bomba, Je kuna uwezekano wowote wa kupata maji mazuri {free from salinity} kwa kuchimba kisima?
   
 7. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jamani hiyo Buyuni iko sehemu gani Ilala?
   
Loading...