DR. Mwansasu is no more

Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,551
5,434
Dr. Bismarck Mwansasu has passed away in Dar-es-Salaam. Dr. Mwansasu taught at University of DSM also Kivukoni College in the 70's. Later he was appointed as RDD in Arusha. He also co-wrote a book on Socialism: A Critical Stage of Development in Tanzania.
 
RIP Dr. Bismark Mwansasu, ndiye aliyekuwa Principle wa Kwanza Chuo Cha Uandishi wa Habari TSJ enzi hizo na kupika waandishi wengi mahiri ambao sasa ni wakongwe.
 
Mwenyezi Mungu amlaze Mahali pema peponi Mwalimu na Mwanamapinduzi Hodari...Marehemu pamoja na mambo mengine atakumbukwa kwa Utetezi wa nguvu kwa kile alichoamini,Ni mtu aliyekuwa na msimamo na mpenda haki.Dr alikuwa mtu anayemtaja sana Mwl Nyerere na Dr.Nkrumah katika mambo mengi,Alikuwa muhubiri mzuri wa Ujamaa..Atakumbukwa kwa maandiko yake katika vitabu "African Socialism in Practice" na "Towards Socialism in Tanzania"

Sala na maombi yetu yanaelekezwa kwa Familia, ndugu na Jamaa katika kipindi hichi kigumu cha Maombolezi!
 
Dr Mwansasu.
May GOD rest your soul in eternal peace amen.Mmoja kati ya walionivutia kusoma nakumbuka akiwa RDD mbeya,niliambiwa kuwa ni dr kwa sababu ya kusoma sana nikajipa one day yes.
 

...Alikuwa muhubiri mzuri wa Ujamaa..Atakumbukwa kwa maandiko yake katika vitabu "African Socialism in Practice" na "Towards Socialism in Tanzania"

Nilitaka kumalizia tu, hapo ulipoachia, kwamba mawazo yake hayo ndio yalichangia kupekelea nchi kuwa abject failure kutokana na ku feli kwa ujamaa. Hata hivyo hakukusudia mabaya, ni mawazo tu hayakuwa bora.

Alilipenda Taifa lake. Apumzike kwa amani.
 
Prof...he has crossed the bridge to the other side, his life fully lived. While we are here mourning your loss, others, those departed are rejoicing meeting him behind the veil. The memory of our beloved is a treasure we will forever keep. Mama, Dada Andwele, Mpale, Kaka Apilike we are together katika hii dificult time. My the Almighty God rest his soul in Eternal Peace. Amen.

"Tukujonga jumo jumo"
 
Wote tutakufa, Mzee ametangulia tu...Mchango wake kwa Taifa ni wa kuigwa bila kujali ulikuwa mbaya ama mzuri...APUMZIKE KWA AMANI MZEE WETU
 
R.I.P Mpiganaji.

Hao ndiyo wale wazee wachache ambao walikuwa na hazina ya historia ya taifa letu na tajiri wake tuliojiuzia wachache kwa kisingizio cha kushindwa siasa ya ujamaa na Azimio la Arusha. Majority, we are now deprived of the owenership of the national economy of which 95% of it is owned by less than 5% of Tanzanians by born and the remanining 95% of citizens own the remaining 5% of the economy. Ingekuwa mini ningerudisha a modified Ujamaa na ningefanikiwa, only tu kuwa sijui nitauzaje sera niweze kupenya SSM maana kwa mtizamo wangu sasa ndicho chama ambacho bado kitaendelea kongoza Tz for years. Naogopa kuingia upinzani kuuza sera hii maana nitachemka and I won't reach anywhere!!! Kwa nini wapinzani hawataki kuungana!!!!?? Poor me, neutra ni politics. Pengine itakuwa nafuata upepo, afadhali iwe hivyo, kuliko kujichimbia shimo la kaburi ningali nina nguvu.
 
Wote tutakufa, Mzee ametangulia tu...Mchango wake kwa Taifa ni wa kuigwa bila kujali ulikuwa mbaya ama mzuri...

Huwezi kuiga kitu kibaya. You are making absolutely no sense. Tunasema, tunamshukuru mzalendo huyu kwa nia na ari ya kujitoa kwa hali na mali lakini legacy za itikadi ambazo zilikuwa abject failure haziigiki. Huigi ubovu.
 
- Mungu amlaze mahali pema, ninamkumbuka sana pale Kivukoni akiwa na waalimu wenziwe kina Mwakawago, Gesley Mapunda, na Kibona enzi hizo nchi ilikuwa bado nzuri ilikuwa dinner karibu kila mwisho wa wiki pale Kivukoni, sijui siku hizi panafananaje tena Kivukoni, maan then palikuwa ni baabu kubwa sana,

Mungu awape nguvu watoto wake na familia nzima ya Mwansasum, good people.

Respect.

FMES!
 
Dr B. Mwansasu apumzike mahali pema peponi. Hakika namkumbuka kwenye Bodi mbalimbali za mashirika ya Umma alizoshiriki kama Mwenyekiti/ Mkurugenzi alisisitiza suala la uzalendo na alikuwa na nia ya dhati kabisa kuikwamua nchi yake katika matatizo yake. Alikuwa mfano wa kuigwa. Adios Dr!!!
 
Poleni sana wafiwa, Mwenyezi Mungu awapeni faraja katika kipindi hiki kigumu. RIP Dr. Mwansasu
 
RIP mzee wetu. Wadanganyika tutakukumbuka sambamba na wale walio fight kwa ajili ya maendeleo yetu.
 
Back
Top Bottom