Plot inahitajika haraka

Katabazi

JF-Expert Member
Feb 18, 2007
353
19
IWE LOW AU MEDIUM DENSITY. IWE NEW KAWE ROAD,SALASALA AU MBEZI BEACH. ISIWE MBALI NA BARABARA ZA LAMI. PRICE MAXIMUM 50MILLION.

CONTACT
Code:
rakeyescarl@yahoo.ie
au 0788025746
 
Katabazi, mimi nina plot yangu ambayo ni unsurveyed ni hekta 1, yaani eka 2.5. Ipo karibu na lami na umeme ni hapo hapo. Ukishuka Mbuyuni, unafuata lami ya kushoto mpaka inapoishia, unakwenda mbele nusu kilomita, basi unafika. Piga 0787 001207. Kama upo serious unaweza kupaona siku yoyote
 
Naona hukumention Sinza/Kijitonyama, any way labda kwa faida ya wengine ni kwamba, mimi ninayo plot iko maeneo ya Kijitonyama nyuma ya Mapambano shule ya msingi, barabara inayoelekea Blue Rose, au naweza kusema iko nyuma ya flats zilizokuwa za BOT wakawauzia UDSM.

Plot yenyewe imezungushiwa fence, ina gate kubwa la kuingilia magari, ina vyumba viwili vya mbele (vikubwa na vizuri) vyenye ukubwa wa 5mts * 5mts kila kimoja (vinaweza kutumika kama flame za biashara au hata kwa makazi), ina maji na umeme. Kwa sasa nimewakodisha vijana wa garage wanafanya kazi ya kunyoosha na kupiga rangi magari.

Ina hati, ila sijawahi kufanya transfer kutoka kwa aliye niuzia miaka ya nyuma maana sikuwapo hapa mjini kwa muda mrefu. Ila Accounts za maji na umeme zote ziko kwenye jina langu.

Bei inaanzia 80mill maongezi yapo. DALALI HATAKIWI.

Kwa anayetaka kwenda kuona apige simu No. 0715 791610
 
Last edited:
Nawashukuru sana,mungu anijalie nizipate mimi maana mtama umeishamwagwa hadharani.nawapigia simu leo.
 
umeshapata plot? kama bado tuwasiliane kupitia hii nambari 0717 114409
 
IWE LOW AU MEDIUM DENSITY. IWE NEW KAWE ROAD,SALASALA AU MBEZI BEACH. ISIWE MBALI NA BARABARA ZA LAMI. PRICE MAXIMUM 50MILLION.

CONTACT
Code:
rakeyescarl@yahoo.ie
au 0788025746

Kutafuta plot haraka haraka ina madhara yake, maana unaweza kuingizwa kwenye mkenge. Haraka haraka......All the best.
 
Back
Top Bottom