2005 suzuki grand vitara inauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
4WD, manual, 5 doors, metalic grey, low mileage, serviced regularly by dealer DT DOBIE TANZANIA, 4 cylinder, petrol engine, Bei 25mil.
Ikiwa wewe hauhitaji kununua gari hii unamjua mtu anahitaji gari kama hii nijulishe baada ya mauzo utapewa kamisheni.asante. mawasiliano. 0717 114409
 
4wd, manual, 5 doors, metalic grey, low mileage, serviced regularly by dealer dt dobie tanzania, 4 cylinder, petrol engine, bei 25mil.
Ikiwa wewe hauhitaji kununua gari hii unamjua mtu anahitaji gari kama hii nijulishe baada ya mauzo utapewa kamisheni.asante. Mawasiliano. 0717 114409

uacheni utapeli unamaanisha nini baada ya mauzo ndio utapewa kamisheni statement nyingine zinatoa taswira mbaya...kwani wengi wameshatorokwa kwa namna hiyo.???
 
4WD, manual, 5 doors, metalic grey, low mileage, serviced regularly by dealer DT DOBIE TANZANIA, 4 cylinder, petrol engine, Bei 25mil.
Ikiwa wewe hauhitaji kununua gari hii unamjua mtu anahitaji gari kama hii nijulishe baada ya mauzo utapewa kamisheni.asante. mawasiliano. 0717 114409

Binafsi nahitaji sana gari la aina hiyo but mkuu hapo kwenye bold...pananifanya nienguliwe automatically!

BWT.....Please weka picha kabisa..kama hujui kuziweka hapa, just mtumie invisible tasaidia kukuwekea!
 
Hapa kuna biashara hakuna utaperi. Jaribu uone. mimi naishi kwa kufuata kanuni nilizojiwekea. moja ya kanuni inasema DAIMA nitatenda kama tunavyokubaliana.
 
Hapana, hakuna hicho unachokidai. Kuna biashara. Jaribu uone. Mimi ninaishi kwa kufuata kanuni nilizojiwekea. Moja ya kanuni inanitaka kutenda sawa sawa na makubaliano. Hupo hapo?
 
Mkuu hiyo 25M bora kuagiza japan ikifika bongo mpaka iingie barabani inaweza kukucost 8M sasa hiyo 25M unaoa ndogo au??
 
well, kwa maoni yangu hiyo 25mil inaweza kuwa ghali lakini pia haiwezi kuwa rahisi kiasi cha 8mil. kumbuka hiyo ni gari ya mwaka 2005, ngand vitara....sio za kawaida hizi na hata za kawaida kwa bei hiyo huwezi kupata....mimi ningekuwa tayari kutoa kati ya 15-20M.
 
Which model? is it TL52W or TX92W? Ungeweka picha ningejua mwenyewe. However, you can get from Japan of the same model and year at about TZS 15 to 18 mil, that is enough to say TZS 25 mil is not cheaper for such SUV type.
Anyway, it depends on your negatiation skills.
 
4WD, manual, 5 doors, metalic grey, low mileage, serviced regularly by dealer DT DOBIE TANZANIA, 4 cylinder, petrol engine, Bei 25mil.
Ikiwa wewe hauhitaji kununua gari hii unamjua mtu anahitaji gari kama hii nijulishe baada ya mauzo utapewa kamisheni.asante. mawasiliano. 0717 114409

Kitomai, is it a brand new au umejichanganya? Hiyo bei inatosha kuingiza gari za namna hiyo 2 zenye low milage kama yako kutoka Japan. Au unadhani kamata-kamata ya Interpol itaongeza demand ya gari zinazouzwa Tz?
 
Thanks!!
 
well, kwa maoni yangu hiyo 25mil inaweza kuwa ghali lakini pia haiwezi kuwa rahisi kiasi cha 8mil. kumbuka hiyo ni gari ya mwaka 2005, ngand vitara....sio za kawaida hizi na hata za kawaida kwa bei hiyo huwezi kupata....mimi ningekuwa tayari kutoa kati ya 15-20M.

Yap nafahamu mkuu ila hapo nilikuwa nakadirilia tu kwa hiyo bei ila naona kaweka bei kubwa sana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom