Nyumba ya kupanga yahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kupanga yahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Outlier, May 20, 2009.

 1. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WanaJF,

  Ninahitaji nyumba ya kupanga jijini Dar.

  Maeneo:
  Kinondoni, Sinza, Magomeni, Kijitonyama, Mwananyamala, Mwenge

  Niko tayari kulipa at most TZS 300,000/= kwa mwezi.

  Muda:
  As early as possible, hata kesho - nikiipenda.

  Mahitaji ya muhimu:
  Isiwe ya ku-share na wapangaji wengine; iwe na maji, umeme, na kama ina parking itakuwa bora zaidi.

  Asanteni,

  Mawasiliano yangu:
  1) JF PM
  2) outlier.mm@gmail.com
  3) +1 240 949 2677
   
 2. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2009
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Outlier nyumba ya bei hiyo hutopata katika maeneo uliyoyataja,Kwa kukusaidia sana sana nyumba hiyo utaipata kuanzia shilingi laki tano hadi sita kwa maeneo husika.Bei hiyo kweli utapata nyumba lakini siyo ya sifa hizo ulizotaka.
   
 3. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapo sasa ni matata. Basi naongezea eneo lingine Kimara, bei maximum TZS 350,000/= per month, na kutoa criteria ya parking.

  Unayo nini?
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kwanini asipate? kwani kasema anahitaji yenye vyumba vingapi? maana hata ya chumba kimoja hawezi kupata na laki 3?
   
 5. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Kuna nyumba nzuri sana maeneo ya Mbagala Kuu, haikupata madhara yoyote wakati wa mabomu, ina eneo kubwa la paking pamoja garden ya nguvu. Inafikika kwa urahisi, lami mpaka getini. Bei inakaribia na uliyoihanisha, vipi unasemaje?
   
 6. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2009
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mkuu ukweli ni kuwa mwezi mmoja uliopita nilikuwa katika harakati kama za kwako,Nimelizunguka Jiji kwa vigezo na bei kama yako sikuambulia kitu.Sasa hivi nakaa Village Afrikana nyumba ya vyumba vitatu vya kulala jiko na sebule ambapo kwa mwezi nalipa sh,600,00/=,Kuna parking ta gari, na garden ya kujiliwaza.Mwenzangu ambaye tulikuwa naye masomoni Russia alipata nyumba Kimara Stop Over haina fence ina ukubwa kama yangu bila cha parking analipa shilingi laki nne na nusu kwa mwezi.Hana maji umeme upo na ni bondeni!!!!
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  una bahati sana mkuu kwa bei hiyo.....
   
 8. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Outlier acha utani wewe unasema unataka nyumba hata kesho halafu unatuwekea namba yako ya simu ya Marekani/Canada! Au unamtafutia ndugu au rafiki yako aliyeko Dar? Vinginevyo hamishia post yako kwenye jokes.
   
 9. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Duu mkuu.....! Dunia these days ni mtaa mmoja......you can do anything anywhere anytime!
   
 10. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante, lakini Mbagala - hapana.
   
 11. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watakuwa madalali wamewaingiza mjini kwa "ugeni" wenu! Anyways, ngoja niendelee kuulizia, nina washkaji wanakaa comfortably maeneo hayo kwa TZS 200,000/= plus
   
 12. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Siku hizi, no in fact long time - simu ziko roaming! Unaishi wapi wewe? Mtu aweza kuweka namba ya Kenya hapa na akawa yuko Mbagala!
   
 13. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Usijali, lukuvi kasema hamna mabomu tena!
   
 14. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wasikutishie mkuu....maeneo yaleyale unayoyataka utapata nyumba ya bei ile ya 300k.....jamaa zangu kibao wanakaa maeneo hayo kwa kodi za kati ya 180 hadi 250 kwa mwezi tena na parking zipo (baadhi)!
   
 15. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakuhaikishia kwa niaba ya Mkuu wa majeshi kuwa kama unaogopa mabomu, yamekwisha. Yale madogomadogo wananchi waliondoka nayo yote. Na barabara hivi sasa iko tupu kabisa hakuna foleni maana wakazi wote si unajua makazi yao yalihamishwa kidizaini?

  Karibu Mbagala Kuu, serikali yako itakulinda ondoa hofu kabisa.
   
 16. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watuwengi wenye nyumba za zamani maeneo hayo wameuza zikajengwa mpya ama wamekarabati wenyewe kwa hiyo bei zikapanda. Labda wanakokaa jamaa zako ni kwenye ambazo ziko kwenye harakati hizo, vinginevyo mhhhh. Mpeni lakini contacts za madalali mbona mnambania?
   
 17. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unahitaji nyumba kwa muda gani (mwaka, miaka ama miezi)?. Maana kuna nyumba za kupangisha kwa muda mfupi tokana na wenye nyumba kusafiri na nyumba ziko tupu kwa kipindi kifupi na wangependa kupata chochote kipindi hicho kifupi. Na pia ni bora ukasema unataka nyumba vyumba vingapi?.
   
 18. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Unajua roaming hutumika na mtu anayetembelea nchi fulani na hakai muda mrefu kwa sababu ni ghali mno. Sasa kwa mtu uliye TZ na umeamua kukaa TZ na bado unaendelea na roaming basi wewe ni milionea. Mwaka jana nilikuwa Ujerumani nikawa na roam na Vodafone, nikipigiwa simu Vodacom TZ walikuwa wananilipisha Shs. 480 kwa dakika na nikipiga sh. 5,000 ilikuwa inaisha kwa dakika 2. Anyway si malumbano it is your choice my friend.
   
 19. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Siyo mabomu!

  Ni attittude niliyoijenga toka miaka ile (ngumu kubadilika), wilaya ya TMK siipendi kabisa, labda Kigamboni (kujenga sio kupanga)

  Nyumba nahitaji kwa mwaka mmoja, na nitalipa kodi yake kwa mkupuo kabla ya kuhamia.

  Mimi sio milionea. Nipe deals acha kutoka nje ya tatizo langu la msingi!
  Mambo yamebadilika sana; siku hizi waweza ku-roam kwa gharama nafuu sana- karibu na bure. Mambo yanabadilika so fast boss.
   
 20. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,037
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ipo nyumba inapangishwa Mwananyamala. Bei 300,000. Kama bado haujafanikiwa tuwasiliane kupitia simu namba 0717 114409.
   
Loading...