Nyumba ya kununua inahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kununua inahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, May 29, 2009.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nyumba ya kununua inahitajika iwe self contained 3 bedrooms, 1 master and 2 bedrooms.
  Plus jiko, store, dining and sitting room.
  Iwe na uwanja kutosha kupaki magari matatu
  Iwe na maji na umeme
  Iwe na HATI MILIKI. Iwe Tabata, Mwananyamala, Bunju, au sehemu nyingine mjini.
  Bajeti isizidi 70mil mawasiliano 0717 114409
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwa specifications ulizotoa, huwezi kuipata hiyo nyumba kwa bei ya 70 mil
   
 3. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2009
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyo mteja atakusumbua sana Kitomai! Kwa bajeti yake hiyo na specifications alizotoa si ajabu anataka ready to move in home! parking ya magari matatu? Bajet hizo mara nying gari watu wanapaki CCM ama petrol station, the plot should be high density kama Sinza, ukitoka getini ukanyoosha mguu unagusa next entrance door to main house! Na wasiwasi atahitaji iwe na gypsum ceiling board! Kazi kweli kweli!
   
Loading...