Esther Reuben is no more! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Esther Reuben is no more!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mwita Maranya, Aug 29, 2011.

 1. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kwamba Bi. Esther Reuben ameaga dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Da es salaam.

  Kwa wale waliosoma Moshi technical secondary school 1993-1996, Technical College Arusha 1998-2000, Dar es salaam Institute of Technology 2001-2004, waliowahi kufanya nae kazi Powertechnics na OTIS pamoja na watu wote mnaomfahamu, poleni kwa msiba huu.

  Taarifa zaidi kuhusiana na mipango ya mazishi pamoja na kuhani msiba itafahamika baadae kutokana na maelekezo ya familia yake.

  Poleni sana familia, ndugu jamaa na marafiki.
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Rest in Peace; Poleni Ndugu Jamaa na Marafiki..
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Ni nani huyo?
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Esther Reuben ndio bujibuji?
   
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Esther Reuben.
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Walisoma chuo kimoja na Mwita Maranya.RIP Esther.


   
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Namfahamu na nimekuwa nikimtembelea nyumbani kwake Tabata na hadi alipolazwa pale Hindu Mandal, Ni msiba mzito kwa kweli.....
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Vipi na wewe ulisoma Moshi na Arusha technical College ?.

   
 9. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Nimekuwa nae katika safari ya kutafuta elimu kwa muda wa miaka 9! so sad.
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Naam mkuu, alikuwa anaishi tabata.
   
 11. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Asante kwa taarifa, Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu
   
 12. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #12
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hapana, sijasoma huko, nimemfahamu kupitia kwa ndugu yangu ambaye wana uhusiano wa karibu. kwani na wewe umesoma huko?
   
 13. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #13
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nimewasiliana na mdogo wake hivi punde, wako njiani wanarudi nyumbani kwa marehemu Tabata, na msiba utakuwa hapo Tabata Kimanga.
   
 14. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Uneweza kufafanua kidogo aina ya uhusiano wao wa karibu !.Sijasoma huko mkuu.

   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Huyu ndiye aliyeanzisha uchuro.....
   
 16. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #16
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ameoa kwao........... Mbona maswali mengi kaka!
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  RIP Ester
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  mkuu ahsante kwa update,

  unaweza kutoa maelekezo kidogo kwa wale watakaokuwa wanakusudia kufika nyumbani kwa ajili ya kuhani msiba.
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Innalillah wainnailah rajiuun
   
 20. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #20
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Ukipanda basi la Tabata Kimanga, unashuka kituo kinachoitwa njia panda, ni baada ya kutoka Mawenzi kituo kinachofuata, pale utavuka barabara na kufuata barabara ya vumbi moja kwa moja, ukifika kwa muuza mkaa unaweza kuuliza hapo utaelekezwa lakini sio vibaya kama ukichukua Bodaboda hapo njia panda kwani wao ni rahisi kufahamu eneo la msiba. nadhani nimeeleweka.
   
Loading...