Ununuzi wa gari opa,nadia au spacio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ununuzi wa gari opa,nadia au spacio

Discussion in 'Matangazo madogo' started by bank, Aug 26, 2011.

 1. bank

  bank Senior Member

  #1
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  USHAURI KUHUSU UNUNUZI WA GARI
  Samahani kwa usumbufu wadau.
  Naombeni ushauri wenu kuhusu gari kati ya OPA NA NADIA ipi inakula mafuta sana.
  Vipi na garama za service.
  Nahitaji kununua kati ya OPA,NADIA AU SPACIO Ila nahitaji ambayo haili mafuta sana na ambayo spare zake ni bei rahisi.

  asanteni kwa ushirikiano wenu.
   
 2. N

  Ndoano Senior Member

  #2
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Spacio.
   
 3. TheRedKop

  TheRedKop Member

  #3
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Gari au usafiri?sjaona gari hapo
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kwa nini usipitie hapa......japanesevehicles.com......ukaangalia specifications za gari...ili iwe rahisi wewe kuamua.....nadhani kadri engine inavyokuwa kubwa....ndio unywaji wa mafuta unaongezeka
   
 5. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mara nyini opa na nadia zinakula mafuta sana kwani zote huweza fika hadi 2000 displacement wakati spacio unaweza pata hata ya dislacement 1400.ushauri wangu nunua spacio.
   
 6. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  <br />
  <br />
  Mboni una madharau sana we jamaa???? Yani mtu amekusanya pesa zake miaka nenda rudi anataka kununua spacio au opa unamwambia hujaona gari hapo???,,, heri yako wewe mwenye pesa mingi za kununua mavogue na vx,, ila hata kama umeyanunua hayo, usidharau wenzako, sio vyema kua na madharau,,,
   
 7. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  dharau ni hulka tu mpendwa, saa nyingine huyo anayemdharau mwenzie anayetaka kununua gari, hata baiskeli hana

  mimi kwenye magari sio mjanja sana, huwa nanunua tu ninalolipenda so na mimi nasubiri kusikia ushauri wa wengine

  mbarikiwe sana
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kiukweli OPA zipo za aina mbili yaani 1800cc na 2000cc. Uchaguzi ni wako, lakini OPA ni gari mpya kidogo huku kwetu hivyo spare zitakusumbua kidogo maana spare zetu kibongo bongo ni used aka chinja chinja au new brand ambazo kama una hela ya mawazo ndugu yangu utalia. Angilizo katika OPA nyingi zina engine ya D4, engine hizi kiukweli kwa gari hizo zinaonekana kusumbua sana sijajua shida ni nini hasa lakini ndiyo hivyo. Hivyo ukinunua usinunue engine ya D4 japokuwa ni chache. Mfano wa engine ya D4 angalia hapa http://www.beforward.jp/toyota/opa/bf27518/id/21065/ na isiyo D4 angalia hapa http://www.beforward.jp/toyota/opa/bf23875/id/17413/
  Toyota Nadia kimaoni ni sawa na OPA kwani nayo ina engine ya D4 na ukubwa wa engine ni 2000cc nayo ni gari mpya huku kwetu hivyo spare na matengenezo ni lazima itakuwa ipo juu au kwa lugha ya kikaskazini Nairobi lazima itakuhusu.
  Toyota Corolla Spacio yenyewe inaitwa engine yake siyo kubwa inarange 1490cc - 1600cc na kidogo ziliwahi kuingia kabla ya OPA na NADIA. Hivyo kwa sababu umesema unataka gari isiyokunywa mafuta mengi basi indirect unaangukia kwenye COROLLA SPACIO. Mwisho yenyewe haina engine ya D4. Check hapa http://www.beforward.jp/toyota/corolla-spacio/bf24850/id/18389/

  Nimekuchagulia site hiyo kwa sababu ya picha, ina picha ambazo hutaitaji miwani kuona.
  Kila la kheri mkuu katika safari yako ya kumiliki mkoo,
   
 9. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br /> mkuu mbona umemwambia indirect?? anaangukia kwenye spacio Badala ya direct anaangukia kwenye spacio
   
 10. bank

  bank Senior Member

  #10
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu wote nashukuru kwa maoni yenu.Yamenisaidia sana maana nilikuwa sijui kama D4 Inasumbua Special thanks to MZEE WA RULA.

  Kitu kingine Befoward nimeona ndio wana bei nzuri na aina nyingi za uchaguzi ila uhakika na usalama wa hela sijajua maana hawana ofisi Tanzania.
  Hapa unamtumia mtu hela ambaye humuoni na huna uhakika kama mzigo utapata au vipi
  Mwenye uzoefu na hawa watu anaweza kuchangia.
   
 11. MOKILI MOBIMBA

  MOKILI MOBIMBA Member

  #11
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  befoward jp nawaaminia nimekwisha fanyanao biashara bei zao pia ni nzuri tatizo gari huchelewa kukufikia
   
Loading...