sehemu ya kupanga inahitajika haraka!!!!!

Bob Nash

Member
Joined
Aug 21, 2009
Messages
64
Points
70

Bob Nash

Member
Joined Aug 21, 2009
64 70
wakuu nahitaji studio apartment, yani one big master bedroom inayojitegemea, iwe ndani ya fenced compound kwa ajili ya usafiri wangu, maeneo ya savey, opposite na mlimani city upande wa kwa kakobe kule mpaka mawasiliano tower au makongo huku karibu na ardhi, offer yangu isizidi 150,000 kwa mwezi, yeyote alie nacho au ndugu jamaa au rafiki, naomba kuwasilisha.

0654-633109
 

Forum statistics

Threads 1,355,854
Members 518,781
Posts 33,121,475
Top