Viwanja 20mx20m vinauzwa kimara Bonyokwa 3M to 10M

Kimara bonyokwa along Jakaya road ni 2 to 4 KM from kimara mwisho Morogoro road, barabara ni nzuri japo haina lami, kwa sasa inakarabatiwa Moram(sijui ndio hivyo)/mchanga wenye kokoto umemwagwa. umeme upo japo kwa baadhi ya viwanja ni nguzo 1-3 kupata umeme. maji mambomba ya mchina yapo lakini hayatoki, kuna mradi wa kisima cha jumuia ambao umeisha na tayari watu baadhi wanapata maji hayo kupitia mabomba ya dawasa.
 
Kwa sisi wtembea kwa miguu Je kutoka kimara mwisho mpaka huko sijui Bonyokwa kuna daladala?Je Hiyo barabara nyakati za Mvua inakuaje mana tuje uziwa viwanja nyakati za ukame ila mvua ikinyesha Hatwendwi makwetu
 
Nimetokea leo asubuhi huo kuangalia kiwanja. Bei yako vp inaanzia ngapi hivyo?
Mil 3 -10 kutegemea na eneo, umbali, umeme maji, muundo na ukubwa wa kiwanja etc.
 
Kwa sisi wtembea kwa miguu Je kutoka kimara mwisho mpaka huko sijui Bonyokwa kuna daladala?Je Hiyo barabara nyakati za Mvua inakuaje mana tuje uziwa viwanja nyakati za ukame ila mvua ikinyesha Hatwendwi makwetu

Kuna daladala kutoka kimara mwisho along jakaya road tshs 300, au tax wanachaji sh 1000 mpaka kimara mwisho kwa mtu mmoja so wanachukua watu wanne hadi watano, au pikipiki, 1500 to 2000, wafanyakazi wengi wanaishi huko. kipindi cha mvua huwa kunateleza kutokana na nature ya udingo wa mfinyanzi, lakini bado magari huwa yanapita, pia kwa hiyo moram waliyoimwaga nadhani kwa upande wa barabara kuteleza tutasahau.
 
Kwa baadhi ya viwanja unaweza kulipa nusu na nusu ukamalizia baadae kwa makubaliano
 
Wapendwa kuna viwanja vingine vinauzwa huko huko kimara barabarani (jakaya road) kabisa bei ni tshs 6,000,000
 
Back
Top Bottom