Natafuta premio, isiwe na engine ya d4

Natafuta premio, isiwe na engine ya d4

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
168
Reaction score
63
Wadau heading inajieleza, natafuta gari aina ya Premio, engine isiwe D4. offer yangu ni 6 million, lakini gari iwe nzuri na bora. mawasiliano ni o784419o3o
 
Nina premio 1.6cc ya mwaka 2002. kama upo serious ni PM. ila niweke wazi si kwa 6M. nimeitumia Tanzania kwa miezi 3 tu nikiwa likizo. Na toka hapo ipo tu hakuna mtu anaitumia. kama upo serious na unaweza kwenda juu ya 6m tuwasiliane
 
Weka wazi bei yako usifikiri unawasiliana na mtu mmoja tu kuna wengine wanaweza kujitokeza....kumbuka mficha uchi hazai ati.
 
Back
Top Bottom