Nyumba ya kukodi Dar kwa muda mfupi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kukodi Dar kwa muda mfupi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Sokwe Mjanja, Aug 19, 2011.

 1. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wakuu natanguliza shukrani.

  Nategemea kuja Dar mwanzoni mwa September sasa ni wapi naweza pata nyumba ya kupanga kwa muda mfupi kama wiki 2 au less hivi, hakuna masharti magumu sana ila tu iwe sehemu nzuri ya kufikika na usalama. Iwe full furnished wakuu

  Mwenye nayo au amjuaye mwenye nayo ani PM
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hi Sokwe, Unakuja mjini? ngoja nikusaidie ndugu yangu:
  Budget yako ni ngapi?
  Unataka iwe na vyumba ngapi?
  Taja eneo 2/3 unazo taka (masaki masaki ao mbagala mbagala?)
  Unataka iwe na parking?
  Full furnished maana yake nini? na vijiko na dish ao viti na vitanda tu?
  Jibu hapo utaona kitomai anakuletea kitu poa.
   
 3. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Afadhali ndugu yangu angalau umetokeza kunisaidia, nimeuza Korosho nataka kuja mjini kidogo kuosha macho na kupiga picha.
  Nyumba iwe tu sehemu nzuri japo ningependa mitaa ya Mwenge, Kijitonyama, Hata Town si mbaya sana. Bajeti anapanga mwenye nyumba ila najua tutaelewana tu.
  Nikija nikutafute RussianRoulette? Nina kakiasi kidogo ka kuponda raha!
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sasa ndugu yangu Sokwe, ulipata? mbona hautujulishi tukakupigie deki?
   
Loading...