IPhone 3G | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IPhone 3G

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Echolima, Aug 31, 2011.

 1. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Nina Iphone version 3.1.3 nataka ku-upgrade iwe 4.2.4 au zaidi mwenye uwezo huo nijulishe ili nikuletee unirekebishie Mimi Niko Dar-es-salaam.
  Pia itapendeza kama ataweza kuniwekea Winterboard.
   
 2. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,725
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  mimi naweza lakini inaonesha hiyo simu yako iko locked so unapoiupgrade inabidi uijailbreak kwanza ili ufunge cydia sasa sijui imelokiwa na kampuni gani ni pm
   
 3. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Simu yangu haiko locked ninaweka line zote Voda,Zantel,Airtel na tigo bila shida hata kidogo,pia cydia ipo tatizo nikitaka kuweka Wallpaper nyingine inaniandikia ujumbe ufuatao;
  Please not that this setting replaces the PNG files that came with the theme.
  PNGfiles that have been iphone-optimized cannot be viewed on a normal computer unless they are first de-optimized,you can use cydia to re-install themes that have been optimized in order to revert to the original PNG files.
  vipi tatizo hilo pia linatatulika??????
   
 4. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hamna ulazima wa kujua imelokiwa na kampuni gani, utakapoJailbreak utaiUnlock baadae kwa mitandao yote..kwenye cydia unaweza kuongeza hizi repostitory address, modmyi ina themes nyingi sana nzuri na xsellize kuna tweaks nyingi za bure na utapata Winterboard, Summerboard na Dreamboard..address zake hizi unaweza kuziAdd {apt.modmyi.com} na {cydia.xsellize.com}
   
Loading...