Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nafanya,office patition.&lt;br /&gt;<br /> Windor fitting.&lt;br /&gt;<br /> Dor fiting.&lt;br /&gt;<br /> Na showcase desin&lt;br /&gt;<br /> Natafuta tenda maofficeni na kwa watu binafsi, níite...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa pamoja tunasikitika kutoa salamu hizi za rambirambi kwa jamii ya afrika na mashariki. imekuwa wiki ngumu na yenye majonvi kwa mataifa ya Tanzania hasa visiwa vya Zanzibar na Kenya mji wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji fremu kariakoo na mwenge kwa ajili ya kuuza vitu vya watoto kama vile nguo na accessories zote. Kwa Kariakoo sitaki duka zima bali nahitaji wao wanaitakizimba au 'goli". mwenge nahitaji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
natafuta power suppy ya laptop aina ya COMPAQ EV N610C nipigie kwa namba 0714260821 kwa mawasiliano
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajf ninatambulisha bidhaa halisi ya mafuta ya kupikia.KIBAIGWA AMANI FRESH OIL MILL bidhaa hii inapatikana kwenye ujazo wa Lita 20 na lita 5.Bei ni Tsh 3500/= kwa lita moja.Mawasiliano piga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shamba zuri hekari moja na nusu linauzwa bei 15m eneo ni tambarare ni 0.5km toka barabara ya morogoro maji, umeme upo karibu kwa masiliano pm
0 Reactions
3 Replies
2K Views
INSTITUTIONAL ESTATE FOR SALE-KIMARA INSTITUTIONAL ESTATE FOR SALE-KIMARA ENEO LA KITAASISI LAUZWA -KIMARA A plot -7822M2with title deed,situated at Kimara-Golan/Temboni Area, registered...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunatoa huduma za ulinzi ktk magodown,ofisi,majumbani,yards,maduka nk kwa gharama nafuu na tunao askari makini,wachapakazi na waaminifu.call 0658336682/ 0754336682 ASAM SECURITY CO. Ltd.
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Ng'owo premier sembe inawaletea bidhaa pouwa ya unga wa sembe dona na kande ulio katika kiwango bora kwa bei pouwa contacts 0762332222 col biznes
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani mwenye simu ya Nokia N82 na anaiuza naomba anijulishe kwa namba 0713589106 au aniandikie kwa pascalmabagala@gmail.com. au kama kuna duka ambalo naweza kupata simu ya namna hii pia naomba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ninajaribu kuweka library ya cable zote za kuhusu Tanzania. Zimefichuka Hatuna uhakika i kama yaliyoandikwa yapi ni kweli na yapi ni uongo Lakini Jamii ya viongozi wetu na sisi wenyewe...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wana JF, kuna catepillar model 428B loader backhoes, lipo katika hali nzuri,linatembea,..kwa maelezo zaidi piga simu namba 0784483101 au 0786057057.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Survey your plots for reasonable price Phone+255714837962
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, kitu cha ukweli hicho hapo, mwenye kuhitaji, aniinbox thru chucktz@hotmail.com
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna kiwanja chenye ukubwa meta za uzio 1043 maeneo ya mwongozo Kigamboni.Kwa anayehitaji awasiliane na namba ifutayo mtaelewana bei na mengineyo.0754-210270
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ipo kontena njiro haijakamilika ipo kwenye lenta na kiwanja ni 20 kwa 40 meter price 22mil
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam wanajamii, naombeni kama kuna mtu yeyote mwenye aidha kujua au kusikia kama kuna nyumba/chumba cha kupanga maeneo kati ya Upanga,jangwani au karibu ya maeneo hayo hasa karibu na Muhimbili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa habari mbalimbali za burudani,siasa na mambo ya kijamii tembelea hii blog,POPOTE TZ
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba self contained inapangishwa iko mbezi luis barabara ya mpigi kama km 2 kutoka Morogoro road. ina vyumba vitatu vya kulala (moja ni master) ina fensi ya ukuta, maji ya na kisima cha ltr...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wajameni nitapata wapi kiwanja Moro? nahitaji kuweka makazi yangu pale iwe sehemu nzuri
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…