NAOMBA USHAURI-PAJERO JR,TOYOTA CAMI, SUZUKI JIMMY kwa DAR ipi bora zaidi

moghaka

JF-Expert Member
May 16, 2011
250
124
NAOMBA USHAURI-PAJERO JR,TOYOTA CAMI, SUZUKI JIMMY kwa DAR ipi bora zaidi ? ?
Kwa vigezo vya ;
1- Mafuta
2-Quality/Uimara au kudumu
3-Upatikanaji wa spare hasa dar
4-baada ya kuitumia inaweza kuuzika tena-soko lake(sio muhimu sana)
Tafadhali naomba tena ushauri wenu na kama zinaweza kupatikana kwa bei nzuri na iwe na hali nzuri kabisa,,,,....
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom