Natafuta kiwanja buyuni

mimi ninanacho lugwadu nusu eka 5m* kwa wasiopajua unafika mwembemtengu njia ya kwenda kongowe kutoka mwembemtengu ni km4* namba yangu ni0712769766
 
Buyuni si unaenda tu, unaonana na Mwenyekiti wa Serikali ya kijiji, unakatiwa shamba mchezo umekwisha. Humu watakuzinguwa tu.
 
Sio kila mtu ni critic. Kama hujui ardhi inavyouzwa Dar kaa kimya au uliza ueleweshwe. Buyuni hakuna mashamba, kuna viwanja vya mradi viliuzwa kwa raia mwaka 2006. Mashamba yatoke wapi? Tatizo watu mkisikia jina msilolijua mnadhani ni shamba, au kijiji kisichoendelea unaweza tu kwenda na kununua. Kila kiwanja kina title deed huko. Na ni mji kama mbezi vile. Sasa nenda serekali za mitaa uingizwe mjini.
 
Unanifundisha kwetu? Unanchekesha!
 
Mm ninacho kizuri kikubwa bei poua kiko hapa hapa maeneo unayoyataka mbuyuni. njia ya kwenda mwjnza km 50 kutoka musoma mjini.
 
Unanifundisha kwetu? Unanchekesha!

Wewe kila sehemu kwenu loh sijui ndio magamba mnajigawa hivo, kila pahala mpo kwenye wizi nyie,ufisadi nyie, mikataba mibovu nyie, masaki nyie,buyuni nyie,...ovyooo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom