Jamani wadau naomba mnisaidie kutafuta bei ya hiyo camera aina ya canon md 255.Nimejaribu nimeshindwa.