Nahitaji laptop

Siku hizi laptop ni nyingi na wauzaji ni wengi hivyo unatakiwa pia uwe makini unaponunua, mimi ninavyoelewa charge siyo sifa pekee ya laptop nzuri! Check na wataalam wa IT wakupe specifications za laptop nzuri ambayo utatumia kama checklist yako unapofanya maamuzi wakati wa kununua
 
ipo hp compaq 17.3 led screen,300gb hdd 3gb ram,webcamera,multi card reader;
bei 800,000
pm km unahitaji
 
ninayo Hp laptop 3gb ram 150Gb hard disk 2ghz processor tsh 450000 inakaa na charge muda mrefu call 0767435430
 
ninayo laptop mkuu,, dell inspiron, inakaa na charge up to 4 hourz, ni 500gb harddisk, 4gb ram na 2.4ghz dual core processor,,, bei 750,000 only
hii mi ndio naona iko sawa kwa mnunuaji hiyo bei iko fair,ukilinganisha na specs zake
 
kuna dell latitude d620 ina wifi, bluetooth, dvd rom, internal mobile phone, sc card reader, ram 1gb, hdd 80, charge 0130hrs, window 7 32bits bei shs 380,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom