Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

mwenye vits tuwasiliane nina mil3 tu......
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ngugu wanajamii wenzangu, Ninaombeni msaada wenu kunipa taarifa za kuweza kumpata dada Zenobia Marcel Mtenga, jina la kusomea au Serena Mtenga (jina halisi). Huyu Dada anotoka Rombo Sijui sehemu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji mkopo wa masharti nafuu sana wa shilling million Kumi. sina Fixed assets kama collateral ila nalipwa mshahara wa 1.5 M per month net. I want to open a very small business opportunity to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF habari? Naombeni wajemeni mnisaidie nimpate rafiki yangu Bwana David Kupaza. Nilisoma nae shule ya sekondari Usagara Tanga kuanzia mwaka 1995-1998. Baadae alijiunga high level na shule...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MWENYE TOYOTA HILUZ TAFADHALI NaTAFUTA 2.5 DOUBLE CABIN MWENYE NAYO TAFADHALI
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakubwa heshima mbele mwenye contena 20 ft la kuuza tafadhari ni PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Madirisha za KISASA. Haysumbuwi na KUTU, Unaweza ku osha na MAJI. Pia ni SOUND PROOF klk ALUMINIUM.Bora zaidi klk. ALUMINIUM na MBAO. Rangi sipo NYAWPE na RANGI ya MBAO. Tunafiti mahali popote...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wana JF Nauza Gari aina 2002 Land Rover Freelander Year / Month 2002 Odometer 90,000 km, Displacement 2,500 cc, Steering Right, Transmission Automatic, Fuel Gasoline/Petrol, Model code GF-LN25...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ebu mtaalam mmoja anisaidie. Ninauziwa kifaa cha kuumulia mikate (proofer) hapa USA. Kwa umeme wa kitanzania wa 220v-240V mashine hii ya 110v-208v itafanya kazi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ipo kimara Stop Over mita chache kutoka barabara kuu-Morogoro road. Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa self contained, sebure kubwa, jiko na dinning. Ina Hati Miliki. Bei 125mil. Piga...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nyumba ya vyumba 3 inapangishwa, ipo kigamboni South Beach Resort, sehemu salama na yenye fensi kuzunguka eneo lote la nyumba karibu 100+. Ni mita chache kutoka baharini, huduma zote muhimu zipo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ipo kimara stopover mita chache kutoka barabara ya Morogoro. Ina vyumba vikubwa vitano vya kulala na sebure kubwa mbili. Inafaa sana kwa matumizi ya Guest House. Bei 58mil. Piga simu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eneo kwa ajili ya matumizi ya shule linauzwa. Lina ukubwa wa 2400 sq meters. Lipo Mwanagati wilaya ya Ilala. Mwanagati ni eneo Lenye viwanja 2000 vilivyopimwa ktk mradi wa viwanja elfu 20000...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A super large plot measuring about 2.24 Ha is ready for sale. This plot is allocated along the Arusha- Dodoma road, about 10km from the city center and about 2 km from the Arusha Airport. Arusha...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
hello wanaJAMVI, nauza kiwanja kilichopimwa,kina hati na kinalipiwa kodi ya ardhi kama kawaida.kina advantage nyingine kwamba kipo mwishoni na kuna eneo ambalo halijapimwa na halina...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkuu napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa ndugu yetu na rafiki yetu kwenye JF, kwa kuweza kufaulu viva voce examination na kutunukiwa shahada ya juu (Doctor of Philosophy) PhD. Najua...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ina vyumba vitatu. Ipo kijitonyama Kisiwani. Ipo vizuri sana. Inapangishwa kwa sh 400,000 kwa mwezi. Maelewano yapo. Wahi usichelewe. Mawasiliano 0784 225 000
0 Reactions
16 Replies
3K Views
please nahitaji toyota rav4, 5doors rangi yeyote, ila milage isizidi 120,000km, na bei pia isizidi 10m. iwe katika hali nzuri haijapata ajali ikaumiza vifaa vya ndani, mikwaruzo, dents hizo ni...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
(Godwin) White 1995 Automatic Petrol V6 1998cc 122798 km 5doors Full AC Sports Lights with Bull Bar Duty Paid Price 7.5mil. Mawasiliano. 0717114409/0755312233
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Muunge mkono mjasiriamali kwa kununua vitanda toka workshop yetu iliyopo sinza.wasiliana nasi kwa email; akamanyusi@yahoo.co.uk
0 Reactions
19 Replies
20K Views
Back
Top Bottom