Samsung wana maduka yao nenda pale Mlimani City Mwenge kuna duka zimejaa kibao hata haya maduka ya simu pale mlimani yanauza ,pia hapohapo Mlimani karibu na shoprite kuna duka la vitu vya electroni napo zipo pia kuna duka hapo hapo MC ukitokea CRDB kwenye kona ukiwa unaeenda NMB benki ni wewe na hela yako tu ,Bongo kama kwa Obama siku kitu chochote unakipata fedha yako tu na wala huna haja ya kupanda pipa au umwagize mtu sijui