Nyumba inauzwa Sinza Mapambano about 600 metre from Shekilango Road, ina vyumba vitatu, sebule, dining lounge na jiko! Plus uwa wa kutosha ambao una vyumba viwili vya kupangisha,bei 230m and...
kuna shule ya english medium nursery and primary maeneo ya njia panda segerea wana utaratibu mzuri kwa wenye kipato kidogo. katika kulipa ada unaweza kukubaliana ulipe kwa awamu ngapi kulingana na...
For interested Parties, there are plots for sale located in Kinzudi, Dar es Salaam.
Location is in the highlands of Kinondoni Municipal also known as Mbezi Juu, Behind New Vodacom Head Quaters...
wana JF nahitaji laptop mpya au used lakini isiwe imechakaa, iwe DELL au HP kwa specification zifuatazo:
1. HP COMPAQ 4320s INTEL CORE 1330M (2.13GHZ PROCESSOR), 2GB DDR II, 250 GB HDD, DVD...
Viongozi wangu,
Salaam!
Kwa heshima na Taadhima naomba tukumbuke thread hiiHII-HAPA
Nimetaarifiwa na mwan-JF wa hapa Arusha kuwa mnamo tarehe 24/12/2010 member mwenzetu fulani waJF aliyekuwa...
Hi JF,
Good day!!
I just wanna introduce you to this great site for online music. You can get the latest music here bila chenga wala kwere. Get the latest mixtapes in US right now. Check it...
gari aina ya toyota mark II GR iko sokoni
Transmission Type: Automatic
GRADE GR Saloon
full AC
Asking Price: TZS 3,600,000
serious buyer email me at kiswagokiswago@yahoo.com
Nyumba ipo Mbezi beach, Ni nyumba kubwa double storey, ina na servant quarter,
Ni Full furnished, ina standby generator, ina internet cables
Inafaa kwa Office cum residential au residential peke...
wadau, wana JF,
Naomba yeyote anayefahamu watu wazuri na wenye gharama nafuu kwa uchoraji/design ramani za nyumba kwa ajili ya kuishi/makazi tafadhali anisaidie.
Naamini wengine wapo humu jf...
Nauza pajero IO au wengi mwaifahamu kama GDI nyeupe ya mwaka 1999 ina km 110,000 kama unahitaji nitumie email kwa lushe2010@yahoo.com kwa picha na maelekezo zaidi.
Karibu, MF.
kama kuna mdau mwenye kujua kufahamu duka /mahali/mtu ambapo naweza kununua used laptop yenye kiwango cha kuridhisha isiyozidi tshs 500,000/ tafadhali anitonye au anielekeze pa kuipata, nina dogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.