blenda ya juice

dr chris

Member
Sep 23, 2011
77
11
nahtaji blenda yenye uwezo wa kuchuja matunda kuwa juice bila kutegemea umeme.zinapatkana duka gani mkoani mbeya?
 

Chiwa

JF-Expert Member
Apr 17, 2008
3,501
3,810
ukiipata nistue sijawahi kufikiri kama inaweza kupatikana
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom