Nahitaji modem

tata mvoni

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
535
195
Salaam wandugu.Mwenye modem iliyochakachuliwa nahitaji kwa ajili ya kununua.MWENYE NAYO ANI-pm
 

Mnandi

Senior Member
Aug 30, 2011
165
225
Salaam wandugu.Mwenye modem iliyochakachuliwa nahitaji kwa ajili ya kununua.MWENYE NAYO ANI-pm
modem zipo kaka,zipo Safaricom 3.5G unlocked zinatumia mitandao yote..bei 70,000/= mpya kabisa kwenye boksi..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom